Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

:flame::flame::flame:ashitakiwe kwa kudanganya umri pili arudishe mataji yote akianzia la kitongoji temeke na Tanzania....
 

Neema za Allah. Halafu unapewa wanawake 40 peponi na huku unapewa nguvu za wanawake 100 yaani nguvu za wanawake 60 zinabaki kwanza, peponi jamani kuzuri Allah Akbar, Allah tujalie tuwe ni wale wenye kuingia peponi. Ameen
 
Haters mtajiharishia mwaka huu, Siti atabaki kuwa Miss Tanzania, Msiompenda jinyongeni
 
Ivi watu hawana kazi za kufanya.
??
Taifa linahitaji maombi hili.
 

Umenichekesha sana!!!kumbe mtunga sheria ni zombi
 
Neema za Allah. Halafu unapewa wanawake 40 peponi na huku unapewa nguvu za wanawake 100 yaani nguvu za wanawake 60 zinabaki kwanza, peponi jamani kuzuri Allah Akbar, Allah tujalie tuwe ni wale wenye kuingia peponi. Ameen

Shehe Kipozeo huwa namkubali sana.
 
Sizitaki mbichi hizi!! Hahahahha demu mchafu kama watoto wote wa fisadi tanzania. Ingekuwa siku za Edward Moringe Sokoine fisadi wote wangenyongwa......
 
jamani hebu muacheni apumue, utafikiri akilivua hilo taji mtavaa nyie. kuna mengi ya kupigia kelele nchi hii zaidi ya hilo la miss tz. nani kanunaaaaa??????
 
Haaa team SITTI wapo weng ila hawajapata fursa tu.
 
Bibi kawa miss...💨💨💨💨💨💤💤💤💤
 
Sawa, ila kesi ya kugushi cheti cha kuzaliwa iko palepale coz RITA wanaendelea na uchunguzi haijalishi una Taji au umelivua.
Huu ni mwaka wako Sitti, hadi muhogo uuite muhoho na maji uyaite mma.
Ova
 
kama kwel, basi huo ndo uwajibikaji .
na wengne waige toka kwake ni uamuz wa busara .
 
SOON I WILL WRITE TO MISS WORLD, KUWA SHE LIED ABOUT HER AGE...na KAMATI YA MISS Tanzania, wanapata amri ya kudhibitisha umri wake sahihi....maana huu ni mchezo mchafu, bibi kabisa anachaguliwa Miss....wtf..!!
 
Mwizi kanaswaaa...sasa kilichobakia vyombo vya dola vifanye kazi yake...anatia aibu bibi bomba hafai huyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…