Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Hii nchi si salama kwa maendeleo ya Taifa kila mwenye kitengo anafanya anayoona yanasitahili bila kujali kuuchukuliwa hatua/kuwajibishwa
 
Sema anaongea Kama demu wangu yaani wamefanana sana aisee dah siti balaa
 
Lundenga jamani huoni aibu??? mambo gani umefanya we mzee? hivi nje ya miss Tz huna shughuli nyingine???? mbona umewatia aibu wazee wa umri wako?
Enzi hizo za mababu hawakua na vyeti vya kuzaliwa lakini walikuepo watoto,vijana,wakubwa na wazee! unajua ni kwa nini???
Tafakari na uchukue hatua haraka

Waandaaji wa miss Tanzania watoa tamko kuhusu taharifa isiyo rasmi inayosambazwa mtandaoni http://theinnovationhouse.blogspot.com/2014/10/red-miss-tanzania-sitti-mtevu-bado-ni.html?m=1
 
na passport yake izuiliwe kwakuwa ameidanganya idara ya uhamiaji. aibu yake na kwa lundenga pia yaan ili shindano la kipuuz sana.
 
Huu mwaka tutasikia mengi Sana kwa kweli
IMG-20141026-WA0010.jpg
 
Nasema naomba jiheshimu k,u,u,ma,a wewe
mama ako ana kopo nini? kilaza wewe unamtetea siti huwa mnasagana nini?! hata ukimtetea mwisho wake miss world yote hayo yatajulikana pumbavu zako! na ukome kutukana matusi makubwa kama hayo kwenye mitandao ya kijamii, komaa!
 
Punga wewe! Umejiunga lini JF? Read between the lines! My msg was a lamenting kwa huyu anayejifanya sitti. Najua wanataka tuache kusaka ujinga wake ili apumue! Mkuu sikuwa na maana ingine falaa wewe!
 
Punga wewe! Umejiunga lini JF? Read between the lines! My msg was a lamenting kwa huyu anayejifanya sitti. Najua wanataka tuache kusaka ujinga wake ili apumue! Mkuu sikuwa na maana ingine falaa wewe!

Ha ha ha never miss jf in your lifetime
 
Back
Top Bottom