Huyu jamaa Deo Kithana nadhani hayuko sawa upstairs yaani kipindi kizima analazimisha ajue umri wa Sitti Mtemvu wakati huyo mdada kashasema alishafunga huo ukurasa na anasonga na maisha hivyo wajadili mambo mengine ya maendeleo. Jamaa mwanzo mwisho anakomaa aambiwe umri. Ndio maana watu hatupigi hatua sabab ya maujinga kama haya aisee ni aibu

Kwani huyo deo si kibaiskeli kinaendeshwa na wenzake? Au hujui?