Sitti Mtemvu yuko Live Nirvana EATV

Sitti Mtemvu yuko Live Nirvana EATV

deepsea

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
3,287
Reaction score
944
Bado anakataa kutaja umri wake licha ya mtangazaji na wasikilizaji kutaka ataje ila kagoma anadai ni maisha yake binafsi
 
Aibu huyu dada,sasa kaja kwenye interview kufanya nini,eti kila akiulizwa umri wake anasema ameshafunga huo ukurasa, anaboa kweli!
 
Huyu jamaa Deo Kithana nadhani hayuko sawa upstairs yaani kipindi kizima analazimisha ajue umri wa Sitti Mtemvu wakati huyo mdada kashasema alishafunga huo ukurasa na anasonga na maisha hivyo wajadili mambo mengine ya maendeleo. Jamaa mwanzo mwisho anakomaa aambiwe umri. Ndio maana watu hatupigi hatua sabab ya maujinga kama haya aisee ni aibu
 
Siti mtevu live on Nirvana,!
 
Attachments

  • 1432665393304.jpg
    1432665393304.jpg
    36.5 KB · Views: 1,149
  • 1432665413290.jpg
    1432665413290.jpg
    30.2 KB · Views: 1,118
Anaulizwa eti alizaliwa mwaka 1991 na kweye passport imeonyesha 1989 ipi ni kweli,anarudia kusema eti hayo yameshapita,amefunga ukurasa huo.sasa mbona haweki wazi.!!!!
 
Huyu jamaa Deo Kithana nadhani hayuko sawa upstairs yaani kipindi kizima analazimisha ajue umri wa Sitti Mtemvu wakati huyo mdada kashasema alishafunga huo ukurasa na anasonga na maisha hivyo wajadili mambo mengine ya maendeleo. Jamaa mwanzo mwisho anakomaa aambiwe umri. Ndio maana watu hatupigi hatua sabab ya maujinga kama haya aisee ni aibu

Kwani huyo deo si kibaiskeli kinaendeshwa na wenzake? Au hujui?
 
Huyu nae hajielewi sijui kala maharage ya wapi na hilo wigi lake
 
Huyu jamaa Deo Kithana nadhani hayuko sawa upstairs yaani kipindi kizima analazimisha ajue umri wa Sitti Mtemvu wakati huyo mdada kashasema alishafunga huo ukurasa na anasonga na maisha hivyo wajadili mambo mengine ya maendeleo. Jamaa mwanzo mwisho anakomaa aambiwe umri. Ndio maana watu hatupigi hatua sabab ya maujinga kama haya aisee ni aibu

Ndio aseme umri wake!!asa amekuja hapo kufanya nn?ana ajenda gani za maendeleo?nashauri hata mnaopga simu komaeni na umri tu km hataki asepe!
 
Ataje umri wake.

Nanyi mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru!
 
ni muhimu ataje umri, ila hatataja kwasababu akitaja tu mapolisi wanakamata akajibu jinai ya kufoji cheti, patachafuka. pia siti aongee kama ana mtoto au anamkana mtoto wake hata leo, kama hana aseme hana.huyo deo sipendi anavyotangaza na kulembua kama demu. ashauriwe namna ya kutangaza kama mwanaume.
 
Badilisha stesheni...utazame mambo mengine ya maana
 
Hahaha hovyooo...suala la mtoto je kakubali..??
Bora ht alivyoachia umiss...angetuaibisha hajui kukibu maswali hajui kujieleza.....I guess hizi ndio div 0...za miaka ya nyuma....public figure hajui kujieleza..km anataka kulia yn
 
Kama sio u miss nani angemfaamu? Kama sio utata wa umri wake mashindano si yangeendelea???

Kakiri kua baba yake akumruusu kushiriki na akumpa ushirikiano, akaulizwa ndo mana ukachelewa kugombea? Akajibu ndio.... Which means umri wake kweli ndo utata
 
Back
Top Bottom