HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 218
unlimitedKuna muda unakuwa una waza kwamba hivi tangia nimezaliwa nimeshakutana na wanawake wangipi
mpaka umri ulio nao sasa hivi .. na ukisema uanze kuhesabu na vidole walahi unajikuta unarudia round
kibao za vidole unahesabu tuu wanawake .... sasa jiulize kwa mwanamke akiisema ameshakutana na wanawake wangapi na akahesabu vidole weeeee sijui itakuaje ... ebu sema wewe ....
Na bado Mungu amekulinda na HIV ...unlimited
Sasa HIV unapate kama ulitumia kinga?na bado mungu amekulinda na HIV ...
Huyo mwanamke ni Lepricon au typin error?sasa jiulize kwa mwanamke akiisema ameshakutana na wanawake wangapi na akahesabu vidole weeeee sijui itakuaje ... ebu sema wewe ....
Kateleza.Huyo mwanamke ni Lepricon au typin error?
na umepona kweli weew maanaDaaah mm nlianza umalaya baada ya kuoa aise hata sikumbuki nishakula wanawake wangapi ila 100 wanafika
Kumbe siyo peke yangu niliyeanza baada ya kuoa!Daaah mm nlianza umalaya baada ya kuoa aise hata sikumbuki nishakula wanawake wangapi ila 100 wanafika
HahaaI'm still a virgin.....