Situation kama hii haijawahi kukukuta kweli wewe?

Situation kama hii haijawahi kukukuta kweli wewe?

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Kuna muda unakuwa una waza kwamba hivi tangia nimezaliwa nimeshakutana na wanawake wangipi
mpaka umri ulio nao sasa hivi.. na ukisema uanze kuhesabu na vidole walahi unajikuta unarudia round
kibao za vidole unahesabu tuu wanawake.... sasa jiulize kwa mwanamke akiisema ameshakutana na wanawake wangapi na akahesabu vidole weeeee sijui itakuaje ... ebu sema wewe ....
 
Kuna muda unakuwa una waza kwamba hivi tangia nimezaliwa nimeshakutana na wanawake wangipi
mpaka umri ulio nao sasa hivi .. na ukisema uanze kuhesabu na vidole walahi unajikuta unarudia round
kibao za vidole unahesabu tuu wanawake .... sasa jiulize kwa mwanamke akiisema ameshakutana na wanawake wangapi na akahesabu vidole weeeee sijui itakuaje ... ebu sema wewe ....
unlimited
 
hahaha sijawah iyo kitu hahaha .. kinga nayo imehusika
 
Daaah mm nlianza umalaya baada ya kuoa aise hata sikumbuki nishakula wanawake wangapi ila 100 wanafika
 
Daaah mm nlianza umalaya baada ya kuoa aise hata sikumbuki nishakula wanawake wangapi ila 100 wanafika
Kumbe siyo peke yangu niliyeanza baada ya kuoa!
Kabla ya kuoa nilikuwa mtakatifu kweli.
Na chanzo cha kuchepuka ni hao hao marafiki wa mke wangu. Wa kwanza alinifuata mara tu aliposikia namchumbia fulani, akauliza "hivi wewe fulani umemuanzaje, mbona wewe tunakujua ni mkristo sana hunaga mambo hayo!" Nikamuuliza kwani nikiwa mkristo sana ndio nisioe? Akajiumauma yakaisha siku ile, lakini baada ya miaka kama miwili hivi ndio urafiki wao unazidi kukolea na bado hajaolewa, siku moja akatutembelea nyumbani na alipoondoka nikamsindikiza hadi kwake mitego yake ikanishinda nikala tunda kimasihara kitandani kwake. Tukaendelea for almost 3 years bila kujulikana. Alipohama mji, marafiki zake wengine walichukua nafasi mmoja baada ya mwingine, na hadi leo sielewi walijipangaje hadi ikatokea hivyo, au basi ndio mpango wa shetani. Yaani ilikuwa niki click tu napewa! Ndipo wakafuata wengine wapya, na hadi sasa kusema kweli hata hesabu yao nishapoteza. Lakini namshukuru Mungu sijawahi kula tunda la housegirl, angalao aibu hiyo nimeikwepa.
 
Back
Top Bottom