Nyie ndio wale mnaosemaga kujenga kijijin ni ujinga.Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Kuffirana ndo ujinga zaidHuwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Utafika mbaliHuna tofaut na mtu anaeuliza kwann watu wanapaua nyumba kwa mabati ya msouth, kwani wakitumia mabati ya kawaida itakuaje?
ni uamuzi tu, ni sawa na wewe uamue panda dala dala mwenzako atapanda mwendokasi mwingine atapanda piki piki mwingine ata request UBER na Wapo watao panda PRIVATE JET.
Usipangie matumizi hela za watu boss, kama umeamua kunywa chai kwenye kikombe cha plastic wenzio wanatumia vikombe vya Udongo kausha.
Fikra zao siyo sawa na zako, ndiyo maana ya tofauti hiyo.Kwa hiyo sababu za kujengea ni kumbukumbu pia kwa ajili ya kaibada Fulani! Ni sawa , ila wengine wanapamba mno, wengine kaburi linakuwa kana ghorofa. Kwa nini isiwekwe alama simple tu,?
Uislamu umekataza hili miaka mingi sana japo baadhi ya waislamu wanafnya haya mambo na dini ikishakataza lazima kuna kitu apo imekionaHuwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Tafuta hela kwa bidii ili uondokane na maumivu ya michango kama hiyo.Issue sio michango! Issue nini mantiki?
Unaacha ili iweje?
Hata mimi nashangaa sana maana zamani tulikuwa tunazika zizini ng'ombe wakanyage kila kitu kipoteeHuwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Wakishajua alipozikwa babu yao, ni faida gani itapatikana..?Kujengewa ni Alama mkuu...Usipojenga lazima vitukuu na vilembwe hawatajua babu yao alzikwa wapi.
Wakijua Babu yao alizikwa paKujengewa ni Alama mkuu...Usipojenga lazima vitukuu na vilembwe hawatajua babu yao alzikwa wapi.
Ndio kujengewa kaburi?We unajua thamani ya mtu kweli,kuna umri ukifika utajua
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Sema ukiwa na pesa .Ukiwa mwema duniani kariburi lako litajengewa kwa nakshi na marumaru, na kupendwa lkn ukiwa wa hovyo kaburi lako litapigwa hadi viboko.
Tafutaa Helaa ndugu yanguu..!! Hayo mambo ni ya kawaidaa tuu kujengea kaburi la Baba yako unaona sio sawaa unataka azikwe kama umefukiaa Mbwaaa???Wakijua Babu yao alizikwa pa
Ndio kujengewa kaburi?