kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Nyie ndio wale mnaosemaga kujenga kijijin ni ujinga.Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.