Siungi Mkono Kujengea makaburi

Hahaha af anakuja kulalamika hapa ataufute pesa hawa ndio wanakuja kusumbua wakufa michango inakuwa migumu msiba unakuwa mzito mpaka ukiisha unasema ewaaaa
Mi niliyekufa nitakuwa sina habari πŸ˜€
 
Wewe ungefurahi endapo mnachimba kaburi mkafukua mifupa ya ndugu yako? Kaburi likijengewa unaweka alama ya kuwa binadamu kazikwa hapo na paheshimiwe
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
Kujengea makaburi kuna faida,nayo faida kuu ni kumtambulisha aliyezikwa hapo,hata vizazi na vizazi vitafika kuona ndugu yao aliyezikwa hapo, pia kuna fanya kaburi lisipotee,kuna makaburi watu wamezikwa miaka ya 2000 but mpka leo kaburi halijulikani lilipo.likijengewa kwa juu inatosha,but kujengea kwa ndani zile ni mbwembwe tu na hazina faida
 
Asante msomi, ushauri wako tutauzingatia.
 
Kwa ajili ya kumbu kumbu kwa vizazi vya hio koo ..hilo mhimu ..sio kiimani kivile mana kiimani ninkama pale ni udongo tu
 
Ulipata kazi sababu Kuna nafasi,waambie vijana waliomaliza chuo na waliofiwa na wazazi wao wakajengee makaburi basi
 
You call angel for help
You call God for help
You call ancestors for help


Jamii zinazojua hili swala huwa na utamaduni wa kufanya prayers &ritual at cemetery areas.

So kuweka kumbukumbu ktk maeneo waliozikwa ndugu zako ni muhimu Sana, so kujengea kaburi ni good idea na iendelee kuepo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…