Siungi Mkono Kujengea makaburi

Siungi Mkono Kujengea makaburi

Sio kweli mbona mimi langu halijajengewa kwa nakshi wakati ni mwema?
msilete utani kwenye masuala kama haya kuna jamaa yangu aliletaga utani kama huu,baada ya wiki jamaa alikula pilau la nyama ya kuku baadae akashushia juisi safi ya baridi.
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Ukifa inabidi tukakufukie tu kama mzoga wa mbwa
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Mchango kujengea kaburi?? Aisee umaskini mbaya sana..
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Wewe huna akili timamu au utoto unakusumbua au umeaminishwa hivyo na dini zako,endelea!
 
kwanini unaulizia faida ihali ulishadfanya conclusion tayari kwamba kujengea makaburi ni ujinga
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Dah! Umasikini ni kitu kibaya sana. Kwani huwa unachangia shilingi ngapi kwa mwaka kwenye ujenzi wa hayo makaburi, kiasi cha kuja kulalamika humu jukwaani?
 
Issue sio michango! Issue nini mantiki?
Dah! Umasikini ni kitu kibaya sana. Kwani huwa unachangia shilingi ngapi kwa mwaka kwenye ujenzi wa hayo makaburi, kiasi cha kuja kulalamika humu jukwaani?
 
Mawazo ya mtu mwenye roho mbaya na maskini ndo yako hivyo kuona kujengea makaburi ni kitu kibaya. Wewe hata kwenye maisha ya kawaida inaonekana huchangiagi chochote.
Mwenye roho mbaya ni wewe, mtu amekufa bado unamrundikia matofali, mawe na marumaru juu kumchosha zaidi.
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Sikupingi..

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom