Siungi Mkono Kujengea makaburi

Siungi Mkono Kujengea makaburi

Hili ni tendo la kuonyesha upendo kwa mpendwa wako alitangulia, ikiwa serekali inatenga maeneo hususan ya kusikia basi ni vema maeneo hayo yakatunza kutua ndani kuboresha makaburi ya wapendwa wetu.

Kumbuka enzi za kale wazee wetu ibrahim walikuwa na amakabiri ya familia ya kuzika wapendwa wao, kila wakati walikuwa na utaratibu wa kuyadumisha.
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Ungeenda jando na kufundishwa mila na desturi ungejua umuhimu na faida zake
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Actually hata kujadili makaburi ni UJINGA
 
Rejeo la Chapisho

  • Ufufuo
    Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko

    (Neno la Kigiriki linalotafsiriwa “makaburi ya ukumbusho” si wingi wa neno taʹphos [kaburi la mtu mmoja] au haiʹdes [makaburi, kaburi la wanadamu wote waliokufa] bali ni wingi wa neno mne·meiʹon [ukumbusho, kaburi la ukumbusho]. Linakazia kuhifadhi kumbukumbu ya mtu aliyekufa. Wale watakaofufuliwa na kupewa nafasi ya kuishi milele si wale ambao kumbukumbu yao imefutwa katika Gehena kwa sababu ya dhambi zisizosamehewa bali ni watu ambao Mungu atawakumbuka.
 
Wanafki bwana

Yaani marehemu sometime kafa kwa kukosa huduma kam chakula na madawa
Kisa hana pesa yakununulia
Afu akifa mnamjengea kaburi la mamilioni sasa si uboya huu
 
Wanafki bwana

Yaani marehemu sometime kafa kwa kukosa huduma kam chakula na madawa
Kisa hana pesa yakununulia
Afu akifa mnamjengea kaburi la mamilioni sasa si uboya huu
Hao ni wanafiki na kwa ambao sio wanafiki?
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Kichwa kisicho na history au kumbukumbu ni sawa na marehemu anae tembea.
 
Uislamu umekataza hili miaka mingi sana japo baadhi ya waislamu wanafnya haya mambo na dini ikishakataza lazima kuna kitu apo imekiona

Ardhi yetu ni ndogo sana percent kubwa ya dunia ni maji kufa uzikwe uoze wengine waje kuzikwa hapo hapo
Kwahiyo alipozikwa Mohammad ni ruhusa kwenda kuchimba ili azikwe mwingine?
 
Acha ubahili. Acha makasiriko. Acha wenye Afya ya Akili watumie Akili zao zinavyowatuma.
 
Back
Top Bottom