ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Uhuru wao ni haki yao tatizo hoja inayotumika ndio dhaifu, kwa sababu wasanii wengi ni washabiki wa CCM lakini wala hawawasemi, unagundua Kuna agenda nyingine tofauti na ileWako huru kumsapoti yeyote kama wewe ulivyo huru kumsapoti diamond, halafu kama ni wanaharakati wa kisiasa wako sahihi kwanini unataka wamsapoti aliyeungana na watesi wao CCM kuwateka, kuwaua, kuwanyanyasa na kuwabeza kwa nyimbo zake?