Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Hoja inayotumika ndio dhaifu, ila Kura ni haki ya mtu , Mbona yule Mmakonde alijichora mpaka tattoo ya JPM, lakini wala hawamsemi kwa chochote ahahaha
Unapiga adui mkubwa kwanza, ulishasikia serikali inagombana na Cuf?
 
Chama Cha mapinduzi,
Hakina kosa lolote kilikuwepo toka tunaita TANU,Ni chama kinachojulikana sehemu kubwa Sana Tanzania nzima..
Diamond hajaanza kuwa CCM enzi ya Magufuli tu, Diamond ameshiriki kampeni zote anzia 2010 na mpaka 2025 atashiriki kumpigia kampeni Mama Samia.
 
Kama kimekufa kuna haja gani ya kusema kifutwe tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sukuma gang mtapata tabu sana
Kumbe na kiswahili hamkielewi nyie bavicha! Kimekufa ila bado kipo kwenye daftari sasa kwa vile kimekufa kifutwe kabisa na kwenye daftari, umeelewa sasa?
 
Tukubaliane tu CHADEMA ni chama ambacho kama kitakuja kutawala hii nchi basi watakuwa hawana tofauti na utawala wa mwendazake kama hutaki mwingine ashabikie au akupinge hiyo demoklasia tunayoihubili ipo wapi sasa
 
Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi...
Dawa ya moto ni moto. Ni kumuunga mkono kwa kwenda mbele.
 
Wana visasi ccm sasa na chadema ndicho kinachoigwa, kwa style hii sitoshangaa kuona wanafuata nyayo za ccm wakipata madaraka.
Kwani chadema ndio wametoa taarifa kuwa diamond asipigiwe kura?
 
Hata wakati magu anawaweka ndani wapinzani alikuwa anawaona maadui kwasababu siyo ccm na alikuwa anaona ana haki ya kufanya hivyo.
Hapa point ni kwamba siasa isigeuka uadui mpaka watu tutake kuharibiana hata kazi.
Kwani kutokukupigia kura ni uadui?
 
Kwani kutokukupigia kura ni uadui?
Kuhamasishana ili watu wasimpgie kura mtu kutokana na itikadi yake ya kisiasa huo ni uadui. Hauna tofauti na magu alivyokuwa anawaweka ndani wapinzani. Na huenda kama wangekuwa na madaraka nao wangefanya kama magu
 
Acha upuuzi ,Domo hata akipigiwa kura na waTZ hawezi kutoboa mbele ya wanaijeria,msitafute kichaka cha kujifichia.

Pili atakula alipopeleka mboga ,mwambieni pole pole na shaka zulu wahamasishe wana ccm wampigie kura.
Hawezi toboa mbele ya Wizkid baba,utakuwa utani wa Karne😂
 
Tukubaliane tu CHADEMA ni chama ambacho kama kitakuja kutawala hii nchi basi watakuwa hawana tofauti na utawala wa mwendazake kama hutaki mwingine ashabikie au akupinge hiyo demoklasia tunayoihubili ipo wapi sasa
Hakuna nchi itakayo tawaliwa na chama cha ovyo kama Chadema ahahahhahah
 
Back
Top Bottom