Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Haya machadema yana stress na laana, kama yanagombana na marehemu tutegemee yatagombana kila sehemu. Hiko sio chama ni genge la wahuni kifutwe kwenye daftari. Chama chenyewe kishajifia.
Useless kabisa kati ya chadema na ccm mataga nan wana mgombania marehemu?
 
Kama unaanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wasimpgie kura mwanamziki kisa alikuwa chama tofauti na chama chako, siku ukipata madaraka utakamata hata mali za waliokuwa wanakupinga, unaweza kuwaweka ndani pia...
Wana Chadema wangapi wameumizwa kisa ni wapinzani?

Hata CHADEMA ikishinda uchaguzi Diamond ataihama CCM huo ni unafiki wa wasanii

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wako huru kumsapoti yeyote kama wewe ulivyo huru kumsapoti diamond, halafu kama ni wanaharakati wa kisiasa wako sahihi kwanini unataka wamsapoti aliyeungana na watesi wao CCM kuwateka, kuwaua, kuwanyanyasa na kuwabeza kwa nyimbo zake?
Wape quinine wameze wateme shauri yao.
 
Haya machadema yana stress na laana, kama yanagombana na marehemu tutegemee yatagombana kila sehemu. Hiko sio chama ni genge la wahuni kifutwe kwenye daftari. Chama chenyewe kishajifia.
Sasa kama kishajifia nn kifutwe kwenye daftari? Tulishawaambia ninyi ni washamba na siasa zenu ni za kishamba. Sasa tulieni dawa ziwaingie ili mpone.
 
Wanaharakati wa twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi....
Huyo atasusiwa sana na kwa uwezo wa ahllah atadondokea pua tu na uccm wake.
 
Wako huru kumsapoti yeyote kama wewe ulivyo huru kumsapoti diamond, halafu kama ni wanaharakati wa kisiasa wako sahihi kwanini unataka wamsapoti aliyeungana na watesi wao CCM kuwateka, kuwaua, kuwanyanyasa na kuwabeza kwa nyimbo zake?
Hatuwezi kusapoti mnafiki mkubwa yule,atapata sapoti za wana ccm wenzake
 
Wanaharakati wa twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi...
Ishu siyo kuwa sisiemu ila ni kupingana na wale wanaotetea madhalimu
 
Wanaharakati wa twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi...
Acha CCM wampigie kura.....
manake kwenye kampeni CCM
..yy alikipiga kampeni CCM. atake CDM wampigie kura sshv shabash
 
Hawa ndo Chadema banaaaa,Wana roho mbayaaaa ilopitiliza,Wana husda,uharamia wa nafsi,utashangaa Hawa ndo wapingaji wa kinachoitwa unyanyasaji na udhalilishaji,huku wakikrnua meno na kufurahia mambo mabaya ya mkutayo binadamu...
Msanii anaetaka kufika mbali anajiepusha na siasa na kuwa mtu wa raia wote.

Sasa huyu diamond alijipoteza mwenyewe kiuadilifu alipopanda majukwaani kwa mlengo wa chama cha siasa.

Hayo yanayotokea ndio majibu ya kujichanganya kwake.

Na bado hii dhambi itamtesa sana diamond.
 
Sema itawatesa wasanii,kwa nn diamond tu?
 
Haya machadema yana stress na laana, kama yanagombana na marehemu tutegemee yatagombana kila sehemu. Hiko sio chama ni genge la wahuni kifutwe kwenye daftari. Chama chenyewe kishajifia.
Kama kimekufa kuna haja gani ya kusema kifutwe tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sukuma gang mtapata tabu sana
 
Back
Top Bottom