ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Uhuru wao ni haki yao tatizo hoja inayotumika ndio dhaifu, kwa sababu wasanii wengi ni washabiki wa CCM lakini wala hawawasemi, unagundua Kuna agenda nyingine tofauti na ileWako huru kumsapoti yeyote kama wewe ulivyo huru kumsapoti diamond, halafu kama ni wanaharakati wa kisiasa wako sahihi kwanini unataka wamsapoti aliyeungana na watesi wao CCM kuwateka, kuwaua, kuwanyanyasa na kuwabeza kwa nyimbo zake?
Mkuu ilikuwa haki ya diamond kuchagua upande kama mtanzania. Bahati nzuri alijua matokeo yake, na labda aliona madogo. Hizi ni principles tu za maisha ambazo huwezi zitengua hata ukipinga wewe.Wanaharakati wa twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi...
Ukiondoa Roma, ney na prof J, ebu tutajie msanii gani ambaye yuko kwenye chat ajashabikia ccm?maana yule Konde boy mpaka tattoo ya Magu kachoraccm wanaongoza nini? kuteka? kuua?kubambikia kesi?
Tatizo la diamond ni mdomo.Uhuru wao ni haki yao tatizo hoja inayotumika ndio dhaifu, kwa sababu wasanii wengi ni washabiki wa CCM lakini wala hawawasemi, unagundua Kuna agenda nyingine tofauti na ile
Ndiyo demokrasia kuna watu kibao huku wanamwona magu kama alikuwa shujaa wao, sasa tuwatenge kwa kuchagua kumuunga mkono?Tatizo sio chama bali ni kuungana na wadhulmati hata angeungana na wasaliti wa Chadema covid 19 bado wangekuwa sahihi kutomsapoti.
Wana visasi ccm sasa na chadema ndicho kinachoigwa, kwa style hii sitoshangaa kuona wanafuata nyayo za ccm wakipata madaraka.ccm wanaongoza nini? kuteka? kuua?kubambikia kesi?
Ata mimi naamini hivyo kwa hoja hii kuwa eti ni ccm sio kweli, maana kwenye kampeni Ata Alikiba alivalishwa kofia na JPM, hawa jamaa waseme wanachokitaka kwa DiamondKuna bomu kubwa sana linatengenezwa nchi hii siku likiripuka itakuwa too late
Tanzania. Wasanii ni wanafiki sana kila msanii CCMWanaharakati wa twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi...
Ile tu kuwa nominated ni hatua kubwa sana kwa msanii.Kama hakuna kupiga kura basi dabliyusibii watulize mshono wasubiri kuchaguliwa na majaji.,,wao si wanasema msanii wao ni mkubwa afrika nzima na bilionea kuwazidi kina davido....Mbele ya Bunaboi HATOBOI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenziMagufuli anakuita uende, utakwenda lini> Leo nadhani
Wewe huna akili na hilo ulithibitisha ulivyo tumia emoji ya kukenuaHawa ndo Chadema banaaaa,Wana roho mbayaaaa ilopitiliza,Wana husda,uharamia wa nafsi,utashangaa Hawa ndo wapingaji wa kinachoitwa unyanyasaji na udhalilishaji,huku wakikrnua meno na kufurahia mambo mabaya ya mkutayo binadamu...
Kama hakuna kupiga kura basi dabliyusibii watulize mshono wasubiri kuchaguliwa na majaji.,,wao si wanasema msanii wao ni mkubwa afrika nzima na bilionea kuwazidi kina davido....Mbele ya Bunaboi HATOBOI.
Hawawezi tuliza mshono msanii wao yuko nominated, labda umwambie mwijaku atulieKama hakuna kupiga kura basi dabliyusibii watulize mshono wasubiri kuchaguliwa na majaji.,,wao si wanasema msanii wao ni mkubwa afrika nzima na bilionea kuwazidi kina davido....Mbele ya Bunaboi HATOBOI.
Wewe mbona unaangalia haki ya upande mmoja tuu angalia na haki ya upande mwingine wapo sahihi kumpigia kampeni wanayeona ni bora zaidi ya diamond.Ndiyo demokrasia kuna watu kibao huku wanamwona magu kama alikuwa shujaa wao, sasa tuwatenge kwa kuchagua kumuunga mkono?..
Kati ya chadema na aliyeapa kukiua chadema nani ni maiti?Haya machadema yana stress na laana, kama yanagombana na marehemu tutegemee yatagombana kila sehemu. Hiko sio chama ni genge la wahuni kifutwe kwenye daftari. Chama chenyewe kishajifia.
Juzi kaonana na xhaka humudu si ampigie kuraMtu yeyote yupo huru kumpigia kampeni yeyote yule.
Kwa upande mwingine, kuna kazi nyingine, hutakiwi kujishikamanisha na chama fulani moja kwa moja. Ukiamua kujishikamanisha na chama moja kwa moja, hiyo shughuli yako itaonekana ina mahusiano ya moja kwa moja na hicho chama, na kuhasimiwa na upande mwingine au kundi neutral ni halali, na kukosa wapenzi tika kwa makundi hasimu siyo ajabu...
Hata wakati magu anawaweka ndani wapinzani alikuwa anawaona maadui kwasababu siyo ccm na alikuwa anaona ana haki ya kufanya hivyo.Wewe mbona unaangalia haki ya upande mmoja tuu angalia na haki ya upande mwingine wapo sahihi kumpigia kampeni wanayeona ni bora zaidi ya diamond.
Wana roho mbaya kuliko waliomuua Kamanda Maneno?Hawa ndo Chadema banaaaa,Wana roho mbayaaaa ilopitiliza,Wana husda,uharamia wa nafsi,utashangaa Hawa ndo wapingaji wa kinachoitwa unyanyasaji na udhalilishaji,huku wakikrnua meno na kufurahia mambo mabaya ya mkutayo binadamu...
Ile tu kuwa nominated ni hatua kubwa sana kwa msanii.
Burnaboy kwenye kutetea wananchi anatetea kilicho tokea Nigeria alikuwa Front line kupinga POLICE BRUTALITY. Bongo ujinga mwingi umetokea Diamond amekemea?Chama Cha mapinduzi,
Hakina kosa lolote kilikuwepo toka tunaita TANU,Ni chama kinachojulikana sehemu kubwa Sana Tanzania nzima...