Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

Hatuwezi kusema ni upumbavu bali ni ushujaa wa aina yake, kama walipanga kuelekea bungeni basi haya ndiyo matokeo yake. Tafsiri yake ni kwamba bunge limepinduliwa hata kama wataendelea na vikao vyake litaonekana ni nyanya pusa. Kwanza security ya bunge hilo ni dhaifu. Tz hakuna atakayeweza kuandamana kwenda bungeni na kisha kuingia bungeni na kubeba siwa, atamalizwa na kuteketezwa njiani kabla ya kuingia viwanja vya bunge. Huu ni udhaifu, siku nyingine wataandamana kuelekea ikulu na kwenda kupindua serikali. Demokrasia yao imezidi mno, wanasema ni haki ya raia na ipo kwenye katiba yao. Siku wakitaka kuandamana kwenda ikulu wawavumilie hivyohivyo ili kulinda katiba yao. Hii sasa too much
Kuwa na jeshi linalotumia nguvu kuliko akili, huku likiwatumikia wacahche badala ya wananchi huo siyo uimara.
Huwezi kusema jeshi la Kenya ni dhaifu kwa hoja kama hiyo. Waandamanaji siyo majambazi.
 
Back
Top Bottom