OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mimi na mashabiki wenzangu duniani kote licha ya matokeo ya jana,hatuwadai chochote kikosi cha Simba Sc
Kwa jinsi walivyocheza jihadi huku wakiwa pungufu ni dhahiri kwamba ahadi ya kutuvusha nusu haikuwa ahadi ya uongo, bali walimanisha.
Simba ilikuwa timu ya kupigwa 3 mpaka 5 ugenini. Wahuni waliziba njia zote muhimu wakaishia kagoli kamoja ka offside. Kumbuka walikuwa pungufu.
Mtu asiye na akili timamu pekee anaweza kuleta lawama na maneno ya kukatisha tamaa. Kama unaona timu yangu ni hovyo, ya kwako ilifika wapi? Kwani nyie hamjawekeza? Lakini mlifika wapi