Siwadai kitu wachezaji wa Simba Sc

Siwadai kitu wachezaji wa Simba Sc

Basi kaeni kimya habari ya kubwatabwata na visingizio lukuki aviwezi kuwasaidia chochote kiufupi mmepakatwa na uwezo wenu uliishia apo, waliopambana kiume ni wale waliosonga mbele izo porojo nyingine hazina mantiki
Kama haikuhusu kaa kushoto. Hii sio forum ya Utopolo
 
mijitu haikupiga hata shuti moja kuelekea golini mwa pirates alafu mnasema hamwadai , kweli mashabiki wa utopolo ni mbumbumbu kweli kweli
 
Ahueni wamevuna walichopanda. Timu gani badala ya kujiandaa kimbinu ili kupata ushindi ugenini!

Yenyewe ikatumia nguvu nyingi kujiandaa nje ya uwanja kwa kuendesha propaganda za kukosa escort na pia kuingia uwanjani na kikaratasi cha juju!
 
Wanadaiwa na WaTz kwa kutuvunjia heshima na kuiletea sifa mbaya Taifa kwa uchawi.
Mikia mnajua kulialia tu,vipi kama lile lilikuwa goli la offside vipi ile ya goli lenu ilikuwa penati?. Vipi ile card ya mnayoilalamikia mgalu kupanda kwenye mguu,ingekuwa upande wenu ingekuwa ndio story ya vijiwe vyote vya mikia
Yanga mliopigwa mbele nyuma vipi mnadaiwa na nani
 
Lakini Kuna timu inadaiwa na Mayele kuelekea April 30.

20220418_154541.jpg
 
mijitu haikupiga hata shuti moja kuelekea golini mwa pirates alafu mnasema hamwadai , kweli mashabiki wa utopolo ni mbumbumbu kweli kweli
Yani wanachomaanisha hawawadai kwa kukaba maana uwezo wa kushinda haukuwepo.

Kukaa golini dakika zote 90 sio mchezo ndugu [emoji1][emoji1] ukizingatia washazoea hamsa hamsa ugenini.
 
Back
Top Bottom