Siwadai kitu wachezaji wa Simba Sc

Siwadai kitu wachezaji wa Simba Sc

Mashabiki wa Simba tuache kuwajaza ujinga wachezaji kwa kauli kama hizi eti "Sina cha kuwadai" "mmekufa kiume" "mmepigana mpaka tone la mwisho" .

Hakuna kufa kiume kufa ni kufa tu. Muwaambie ukweli kuwa inatakiwa wapull up their socks next time! It's supposed to hurt acheni kuwaambia maneno hayo
 
Wanajjifariji kwa kuwafariji wachezaji wao
 
Hatuwadai Simba chochote maana heshima kwa nchi imeonekana. Kufika penati sio jambo dogo hasa unapokuwa ugenini na tayari wapinzani wako wanajua matokeo ya awali.
Kabisa mkuu, hatua ya penati tena ugenini ilikuwa na kufa na kupona wapizani hawatakaa waisahau wameponea tundu la sindano
 
Basi kaeni kimya habari ya kubwatabwata na visingizio lukuki aviwezi kuwasaidia chochote kiufupi mmepakatwa na uwezo wenu uliishia apo, waliopambana kiume ni wale waliosonga mbele izo porojo nyingine hazina mantiki
Hatuwezi kaa kimya tunawapa kongole wachezaji wetu na viongozi kupitia mitandao km vp pita kule .
 
Hv Makolo uchawi wenu ni wa wapi maana unachawia hadharani bado mnatetemeka wenyewe 🤣🤣🤣
Nahisi Ile Irizi alipewa InongA.. sio kwa kutetemeka kule
 
Yanga haina hadhi ya kujadili mpira wa simba kitaifa hata kimataifa, imezidiwa na Simba vitu vingi mpaka uwakilishi wa kimataifa, mpunguze kujikombakomba Simba katafuteni vilabu vya 100 huko ndio hadhi yenu tumbafu nyie..
 
Hatuwezi kaa kimya tunawapa kongole wachezaji wetu na viongozi kupitia mitandao km vp pita kule .
Kongole wakatimepasulie.. nyie ni wakufungwa tu Hilo lilijulikana haijalishi mngefungwaje.. Tar 30 Mayele anawadai
 
Yanga haina hadhi ya kujadili mpira wa simba kitaifa hata kimataifa, imezidiwa na Simba vitu vingi mpaka uwakilishi wa kimataifa, mpunguze kujikombakomba Simba katafuteni vilabu vya 100 huko ndio hadhi yenu tumbafu nyie..
Ety Makolo wameizid Yanga Kila kitu. Wewe kolo sikia, wachezaji wenu na branch letu la ufundi linahaha huko hata hawajui kamba wanaweka wapi.. Tar 30 ndo kiama chenu.. Tunachukulia kombe Uvunguni mwenu
 
Kongole wakatimepasulie.. nyie ni wakufungwa tu Hilo lilijulikana haijalishi mngefungwaje.. Tar 30 Mayele anawadai
Ukifika level ya Simba ndio mje mjadili kufungwa au kutokufungwa Simba, we chuma ulete huwezi kaa meza moja na mwenye hela kujadili hela.
 
Ety Makolo wameizid Yanga Kila kitu. Wewe kolo sikia, wachezaji wenu na branch letu la ufundi linahaha huko hata hawajui kamba wanaweka wapi.. Tar 30 ndo kiama chenu.. Tunachukulia kombe Uvunguni mwenu
Utaishia kupiga mayowe tu hapa shukuru umempata nafasi ya kujadili na wanasimba humu ila hadhi yako ni wasomali.
 
Ukifika level ya Simba ndio mje mjadili kufungwa au kutokufungwa Simba, we chuma ulete huwezi kaa meza moja na mwenye hela kujadili hela.
Utaishia kupiga mayowe tu hapa shukuru umempata nafasi ya kujadili na wanasimba humu ila hadhi yako ni wasomali.
Nyie Makolo sisi ni Hamuwezi ndo maana tunawapiga kwenye ligi Kila mwaka.. hamna kitu kabisa uwanjani zaidi ya ndumba
 
Ndiyo maana Orlando walishangilia kupitiliza ushindi wa penati kwakuwa hawakuamini kama wangeitoa Simba mashindanoni.
Hata ingekuwa mikia mngeshangilia sana kuvuka hiyo hatua. Hata ulaya tu wanashangilia kuvuka hatua fulani,hasa hizi hatua za mtoano
 
Hapa tunakipokea kikosi airport

Mimi na mashabiki wenzangu duniani kote licha ya matokeo ya jana,hatuwadai chochote kikosi cha Simba Sc

Kwa jinsi walivyocheza jihadi huku wakiwa pungufu ni dhahiri kwamba ahadi ya kutuvusha nusu haikuwa ahadi ya uongo, bali walimanisha.

Simba ilikuwa timu ya kupigwa 3 mpaka 5 ugenini. Wahuni waliziba njia zote muhimu wakaishia kagoli kamoja ka offside. Kumbuka walikuwa pungufu.

Mtu asiye na akili timamu pekee anaweza kuleta lawama na maneno ya kukatisha tamaa. Kama unaona timu yangu ni hovyo, ya kwako ilifika wapi? Kwani nyie hamjawekeza? Lakini mlifika wapi
na hili la azam vipi Tena?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Hapa tunakipokea kikosi airport

Mimi na mashabiki wenzangu duniani kote licha ya matokeo ya jana,hatuwadai chochote kikosi cha Simba Sc

Kwa jinsi walivyocheza jihadi huku wakiwa pungufu ni dhahiri kwamba ahadi ya kutuvusha nusu haikuwa ahadi ya uongo, bali walimanisha.

Simba ilikuwa timu ya kupigwa 3 mpaka 5 ugenini. Wahuni waliziba njia zote muhimu wakaishia kagoli kamoja ka offside. Kumbuka walikuwa pungufu.

Mtu asiye na akili timamu pekee anaweza kuleta lawama na maneno ya kukatisha tamaa. Kama unaona timu yangu ni hovyo, ya kwako ilifika wapi? Kwani nyie hamjawekeza? Lakini mlifika wapi
Ni kweli aisee, Mashabiki kindakindaki bado tuna moyo na timu yetu
 
Back
Top Bottom