Siwaelewi Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, TLS, Tume ya Haki za Binadamu

"OMBI...KANISA KATOLIKI TANZANIA LITOE TAMKO KALI LAA HATUWATENDEI WAUMINI WETU NA WATANZANIA WOTE YATUPASAYO MBELE ZA MUNGU.."



Kwani umeambiwa hii nchi ya kanisa katoliki shwain
Kwani amesikia hii
Kanisa katoliki?
Hata mimi nimeshangaa? Hivi hawa ndugu zetu wazima kweli. Kanisa katoliki linahusikaje hapo?
 
Kwanza acha siasa za namna hii kuliingiza kanisa katika masuala Kama haya lakini pia wananchi wanapaswa kuchagua viongozi wao kwa mategemeo kwa hyo mgombea yyte anaweza kusema kwa kuwa suala la maendeleo ni katika uongozi ni mchakato kuanzia ngazi ya chini hadi juu kwa ndani ya huo mchakato ikitokea mmoja akaamua kuumwamisha manake wananchi watachelewa kupata maendeleo kwa maslahi ya mtu fulani kisiasa au vinginevyo sasa ili mambo yaende kwa kasi kusiwepo na vikwazo kwa hyo statement hii ukiangalia in a simple perspective utaona haiko sawa but ukiangalia kwa jicho la kiuchambuzi iko sahihi
 
Huyu mtu hakustahili kabisa kuwa Rais wa nchi yetu
 
Kwani nyie mkisema mkichaguliwa mtauza ndege na sgr kuna tofauti gani?
 
Ole wao wachague upinzani ,watanywea maji kwenye karai
 
Nani kakwambia hii nchi ni ya kanisa katoliki?,idiot OMBI...KANISA KATOLIKI TANZANIA LITOE TAMKO KALI LAA HATUWATENDEI WAUMINI WETU NA WATANZANIA WOTE YATUPASAYO MBELE ZA MUNGU..
 
Hana kabisa............

Ila Magufuli amelewa madaraka vibaya mno, ndiyo sababu anayatamka hayo, akijua kabisa anayatamka maneno hayo, akiivunja Katiba ya nchi waziwazi kabisa!
Na akipata mingine 5 ndiyo itakuwa balaa zaidi ......!!
 
Kila siku nasema hapa ..
Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania.

Huwezi ukaongea ujinga ka huu Kenya ukashinda. NEVER !!
 
Tatizo lipo kwenye taasisi zetu za usalama magu sio presidential material. Sidhani kama ana akili timamu
 
Tupambane sisi wananchi wenyewe , viongozi wa dini ni wanafiki wa kutupa kwa kushindwa kumkemea Magufuri na vitendo vyake hata mbinguni hawaendi , Bora kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti .
 
Reactions: BAK
Nchi yetu ndipo ilipofikia hapa. Vyombo hivyo ulivyivitaja vimekuwa kimya kabisa huku huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akivunja taratibu zote za kampeni za uchaguzi kila siku iendayo kwa Mungu lakini hakuna wa KUMKEMEA.

Wastaafu nao kimya kabisa wakimuogopa. Inasikitisha, kuudhi na kushangaza sana. Yanini kutumia billions za walipa kodi ili kufanya uchaguzi FAKE uchaguzi HARAMU.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…