Siwatishi..wasanii mtubu mpaka december tutawazika wengi

Siwatishi..wasanii mtubu mpaka december tutawazika wengi

Hamna cha wasanii wala wacheza ngoma,kwenye suala la Imani na mambo ya Mungu,binaadamu wote ni fungu moja,hivyo kila mmoja anawajibika kuitetea nafsi yake bila kujali utambulisho wake katika hii dunia.
 
Back
Top Bottom