Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta
hata mm nashangaa sana maana kama ndo mziki unalipa kiasi hichi basi wengi tutakuwa tumekuwa juu
dah watu mna wivu ata kama ni ngano..kauze na wewwe ujenge kwenu...
Tena apo anapost amekalia kochi la shemeji ake anabrazuka.....
Hongera sana Ney sio Diamond anasema account yake ina bilioni moja lakn anashindwa kumalizia nyumba.
cc: heaven on desert
Huyo bintiii mmmhhhhhh
Nimemsikia leo akihojiwa, amesema alinunua nyumba kwa 70 M, then ndio akaifanyia makeke.Bustani ya hiyo nyumba na hilo Dish linaonekana ni nyumba ya 5yrs hivi toka imejengwa...amenunu
Dai anajenga kibanda kwa Wema
Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta
Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta
Katika Harakati za Ney wa Mitego kuonesha Mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, Jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye Thamani ya Mil 170 ambayo ipo Maeneo ya Kimara , Katika tukio hilo la kuonesha nyumba pia alimsuprise mpenzi wake Siwema Ambae alikuwa hajui Kama anajenga ambapo kitendo hicho kilimfanya Siwema Atokwe na Machozi ya Furaha ....Angalia Picha hizo za Nyumba yake Mpya hapa Chini:
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Picha:Bongo5
Mmjj samahani. JAMANI
HUYU JAAMAAPEMBENI KULIA YUKOSAWA KWELI..SIO WALE MAMBO YETU YA ANGLIKANA