Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta

Mkuu we sikilizia tuu utakuja ushituke baadae kumbe walikuwa wanafanya movie so movie ikiisha watarudisha nyumba ya watu
 
Siwema mchumba wa mitego na mitego nae mchumba wa nani? Maana mi nawaona wote wachumba tu!..
 
Bustani ya hiyo nyumba na hilo Dish linaonekana ni nyumba ya 5yrs hivi toka imejengwa...amenunu
 
attachment.php

Ametupia hii picha kwenye wall yake ya facebook na instagram na kusema ni mjengo wake mpya. Binafsi nampongeza kwa kupiga hatua. Sanaa ni kazi kama kazi zingine. Ila....
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1402770369.012585.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1402770369.012585.jpg
    76.6 KB · Views: 1,431
Bustani ya hiyo nyumba na hilo Dish linaonekana ni nyumba ya 5yrs hivi toka imejengwa...amenunu
Nimemsikia leo akihojiwa, amesema alinunua nyumba kwa 70 M, then ndio akaifanyia makeke.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta

Mkuu hapo kwenye bold unamaanisha nini? Ni nani kwamba hayatumiki ni TCRA au? Huenda hukuwaelewa mkuu yanatumika sana tu, mimi natumia mpk sasa!
 
Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta

Bingo mov.....
 
Katika Harakati za Ney wa Mitego kuonesha Mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, Jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye Thamani ya Mil 170 ambayo ipo Maeneo ya Kimara , Katika tukio hilo la kuonesha nyumba pia alimsuprise mpenzi wake Siwema Ambae alikuwa hajui Kama anajenga ambapo kitendo hicho kilimfanya Siwema Atokwe na Machozi ya Furaha ....​
Angalia Picha hizo za Nyumba yake Mpya hapa Chini:

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Picha:Bongo5

Mmjj samahani. JAMANI
HUYU JAAMAAPEMBENI KULIA YUKOSAWA KWELI..SIO WALE MAMBO YETU YA ANGLIKANA
 
Nyumba ni mzuri ila fupi sana. Baada ya muda itachukiza.
 
Back
Top Bottom