Kumbe, hatari!,anastahili lakin sembuse kipindi mke anakosa mahitaji muhimu yeye asiye halali anapata na bado analeta ngepe,ngoja aonje nyota ya jiwe.Huyo siwema naye alimtapeli huyo baba, akawa anamdai matumizi makubwa kila siku mara akadai anunuliwe gari ili asimwambie mkewe kuwa anatembea nae, sasa baba akachoka akaamua kumfikisha mahakamani. Akitoka huko atajifunza kula pesa ya jasho lake,
Mpuuzi tu,mbona hakumsaidia wakati ana kesiahahah lol, anataka kujifanya pedeshee
Yawezekana......!
Naona Ney ndio anataka kulifuatilia hilo, apewe faini ili amlipie mzazi mwenzake.Inamana kapewa adhabu moja tu Yan hakuna fain
Itakuwa Jambo la busara sana jela miaka miwil ni mingi sanaNaona Ney ndio anataka kulifuatilia hilo, apewe faini ili amlipie mzazi mwenzake.
Angekaa miaka miwili jela iwe funzo kwa wengine wenye tabia kama hizo, utarekodije video ya ngono na mtu halafu uitumie kama fimbo ya kumchapia ili atimize matakwa yako? Acha ake jela kwani jela si ziko kwa ajili yetu sie watu?Itakuwa Jambo la busara sana jela miaka miwil ni mingi sana
Huyu Nay ajifunzze kwa mwenzake CK kujifanya Pedeshee.ahahah lol, anataka kujifanya pedeshee
inapiga propaganda tu, anataka kusema kuwa muda wote wa kesi alikuwa ajui kinachoendelea ?Sass Ney badala ya kwenda kutoa msaada Mwanza anaongea radio Dar, au kujikweza watu wamuone mtu WA maana sana
Kumbe huyo siwema ni mshenziAlimpiga picha za utupu wakiwa wanakula maraha
.Kisha akawa anamtishia kuwa ataziweka mtandaoni kama atamfungulia duka la nguo na kumnunulia gari.Deo akawa kila akitimiza moja anapewa jingine akaona isiwe tabu akapeleka kesi police.
hii kitu alifanya benzema kwa valbuena, halafu akataka apewe pesa, kesi inaendeleaAngekaa miaka miwili jela iwe funzo kwa wengine wenye tabia kama hizo, utarekodije video ya ngono na mtu halafu uitumie kama fimbo ya kumchapia ili atimize matakwa yako? Acha ake jela kwani jela si ziko kwa ajili yetu sie watu?
ubaya ni pale unapovua nguo hadharani tena mbele za watu harafu wewe ndio unawaita watu hawana akili!!? hii ipo TANZANIA TUHuyo Ney kwa statement yake tayari anaonekana elimu hana, ni mswahili mshamba tu anayetafuta umaarufu wa ushamba na unjinga. Angalia alichosema ndipo ufahamu ni taifa la watu wenye ufahamu wa aina gani lilikuw alinajengwa na awamu ya mswahili. TISS, tume ya uchaguzi na majeshi ya usalama, ninaomba mlihurumie taifa la Tanzania kwa kuepuka kumpa uraisi mswahili tena. Nchi hii ilikuwa imekufa kabisa kwa kila kitu.
Hii ni blackmail of the highest order,afadhali muuaji kuliko huyo-na aki appeal wamuongezee miaka kwa kupoteza muda wa mahakamaKumbe huyo siwema ni mshenzi
Nafikiri yy alikuwa anajifanya motto wa mjini, sasa ngoja aisome nambaHii ni blackmail of the highest order,afadhali muuaji kuliko huyo-na aki appeal wamuongezee miaka kwa kupoteza muda wa mahakama
Msaada wa kisheria,mfano kumtafutia advocate,then appeal anaweza kumtoaSasa Nay anahisi atatoa msaada gani na hukumu imeshatoka? labda kama ataomba aungane naye huko Mangele.
ubaya ni pale unapovua nguo hadharani tena mbele za watu harafu wewe ndio unawaita watu hawana akili!!? hii ipo TANZANIA TU