GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kufanya nini kuhusu nini?Wewe Umefanya nini mpaka Sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya nini kuhusu nini?Wewe Umefanya nini mpaka Sasa
SijuiKufanya nini kuhusu nini?
Wee CCM kaa kimya!Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani
Suala la msingi ni kwamba wewe pigania yule unayedhani anafaa kwenda ikulu na mwingine/wengine wapiganie yule wanayedhani anafaa kwenda ikulu. Zingine zote ni porojo za kutafuta "attention."Wewe Umefanya nini mpaka Sasa au ndio nyumbu muoga
Wewe ni takataka tu, usisumbue watu hapa.Sijui🤣🤣🤣🤣
Ni kosa kubwa kuwasaidia wana siasa kazi yao ,kila mtu afanye kazi aliyoichagua ,mimi siwezi kwenda mkutano wa hadhara kumsikiliza mwanasiasa ,habari zake ntakutana nazo mtandaoni ,niko busy nafanya kazi niliyochagua.Kuhusu kuandamana ndio sitaki kusikia.NAUNGA MKONO HOJA, wanasiasa wakimaliza press wanaandikiana poshoKwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Shida ipo pale siasa inapogeuka ajira ya kudumu.Even wenyewe hawataki wapiganiwe. Wanataka mjipiganie, wkt vijana wa kemya na bangladesh wanahangaika hawakuwa na mwanasiasa akiwaongoza, mpaka leo hakuna mwanasiasa
Walipigana wenyewe,, sasa wewe endelea kuamini mwanasiasa atakueletea mabadiliko
Halafu Lissu alisema watoto wake ni wamarekani na lema familia yake iko Canada. Wakawalete watoto wao waandamane kwa faida ya baba zao.Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Hata hao wapinzani hawakuhitaji wala hawana muda na wewe.Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Hata Mimi sikuhitaji hapa kwenye Uzi wangu na Sina muda na weweHata hao wapinzani hawakuhitaji wala hawana muda na wewe.
Umelazimishwa na nani ku comment?Umelazimishwa na nani ukaandamane!? 🤔🤔
Uzi ukishauweka hapa ni kwa matumizi ya wote vinginevyo ungejadili na familia yako tu.Hata Mimi sikuhitaji hapa kwenye Uzi wangu na Sina muda na wewe
Umelazimishwa na nani ku comment?
Wewe ni MAITI hata kabla hujapigwa risasi.Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu
Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano
Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.
Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani
Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Wewe ambae sio maiti umefanya niniWewe ni MAITI hata kabla hujapigwa risasi.