Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni