Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.

Shikamooni.

Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.

Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau

Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Hatimaye ruhani kajitaja jina.

Pole mwaya.
 
ila wewe manzi tangu kipindi kile sijajiunga humu nilikuwa nakucheki tu! Yaani una threads za kutia huruma tu! Dah pole bhana!
 
Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.

Shikamooni.

Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.

Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau

Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Wazungu wanaita honey trap
 
Back
Top Bottom