EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Ila ulianza ngono mapema mno,uswahilini si mahala salama sana kwa kulea watoto,huyo bwana aliyekuacha ni yule mlieqnza nae mapenzi ukiwa la saba na yeye form 2?
SanteePole sana Mdada ..kwanza kabisa tambua Yesu ndiye rafiki mwema.....Anza naye kwanza yeye ndo atakayekupa mafariki wema na wazuri zaidi
Pole sana kwa changamoto unazopitia...
Amini ktk Kristo Yesu maana yeye ndo tumaini Letu.
Asante Kwa maono yakoIla ulianza ngono mapema mno,uswahilini si mahala salama sana kwa kulea watoto,huyo bwana aliyekuacha ni yule mlieqnza nae mapenzi ukiwa la saba na yeye form 2?
Achana nayonimekujibu kulingana na umri wako.
Sitaki vita wala ugomvi. Vita yetu ni ya hoja pekee.
Sijui kwa nini lakini unakuwaga upo so direct hadi napenda♥️Sababu umeongelea umri pia sio mbaya ungetutajia umri wako
Una umri gani Marry Diana hadi umeshaolewa na kuachika
🤔inashangaza❗Nina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka Jana
kweli wewe ni mtoto wa 2000Achana nayo
Asante sanaBiashara ya chipsi itakufaa swala la kuachwa huenda sio rizki.
Mm hiyo ndiyo Sura yangu halisi weka yako tuonekweli wewe ni mtoto wa 2000
sheria,miongozo na kanuni za jf na misimamo yangu hainiruhusu kujianika hadharani.Mm hiyo ndiyo Sura yangu halisi weka yako tuone
Utakuwa na Sura mbaya usisingizie sheria,wapo watu wengi humu wanaotumia picha halisisheria,miongozo na kanuni za jf na misimamo yangu hainiruhusu kujianika hadharani.
Karibu sanaAsante sana
mwanaume hasifiwi sura marry! Kama unabisha njoo nikuoneshe kazi,kitandani na kiukwasi.Utakuwa na Sura mbaya usisingizie sheria,wapo watu wengi humu wanaotumia picha halisi
Huna pesa kaka,mwenye pesa haperuzi jf kirahisi hivomwanaume hasifiwi sura marry! Kama unabisha njoo nikuoneshe kazi,kitandani na kiukwasi.
njoo pm, tuchati tuelewane nikuoe na uje hapa uthibitishe kazi yangu kitandani na kiukwasi.Huna pesa kaka,mwenye pesa haperuzi jf kirahisi hivo
Hongeranjoo pm, tuchati tuelewane nikuoe na uje hapa uthibitishe kazi yangu kitandani na kiukwasi.
Vichaa wenye pesa wapo wengi na mimi nimo kwenye kundi hilo.