Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Wee DA marry ujanja wote huo unaachwaa? Inakuaje yaan? Mbona huniambii?
Na mumeo anadunda tyuuh mtaani? Huogopii?
Em tufanye jambo serious yaan. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
For real unaonekana kama una 30+ years,.

Jitahidi sana kupuuzia mambo,. Usijipe stress sana za maisha maana hazijai Isha,. Usitegemee watu wakupe furaha utakua disappointed sana,. Raha jipe mwenyewe bibie,. usipokua makini life will JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you to death...

Kula vizuri,. Oga vaa vizuri pendeza,. Skin care routine yako pia zingatia wachana na cheap price products,. Jitoe out msichana kula maisha ,. Nuru inakuja yenyewe automatically
Umesahau asisahau kuchakatwa
 
Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.

Shikamooni.

Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.

Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau

Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Nitext inbox
 
Wee DA marry ujanja wote huo unaachwaa? Inakuaje yaan? Mbona huniambii?
Na mumeo anadunda tyuuh mtaani? Huogopii?
Em tufanye jambo serious yaan. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mmm mbona unanitisha, tufanye jambo gani
 
Pole kwa yote ila kwa maisha yako ya kusikitisha hapa mtu wa kuwa rafiki yako haswa ni Joanah hivyo zama PM kwake chap sisi wengine tutaishia kukutongoza na mwisho ufe kwa kutoneshwa madonda yako
 
Back
Top Bottom