Acha ujinga ,kwahiyo umeamua kunidharau kiasi hichoAisee raba lazima iwe imara ili nikikutana na kidume nitoke nduki yani hata kisogo kisionekane niatakuepo room no 3 kwenye Ile lodge
Achana nayo yameishaNadhani wewe ndio umetafsiri kama dharau.
Kuzeeka sio dhambi hata hivyo
Au uniambie ushauri upi ni mbaya kati ya niliyokupa nafuta ASAP
Nitakudharauje mrembo yani hapa kwanzia saizi nitakuwa nachungulia pm niangalie kameseji kako kama kametuamo humo😋Acha ujinga ,kwahiyo umeamua kunidharau kiasi hicho
mi najitolea kukupa shambaMbona sina shamba eti
Mmm hayami najitolea kukupa shamba
KwakweliPole mamy maisha sio lelemama na huo ndo ukubwa
Sema hii lugha "Acha ujinga" mmh aisee sina D2 ngoja ninyamaze nije nishuhudie mwenyeweAcha ujinga ,kwahiyo umeamua kunidharau kiasi hicho
Eti tukutane room na 3 ww si mzimaNitakudharauje mrembo yani hapa kwanzia saizi nitakuwa nachungulia pm niangalie kameseji kako kama kametuamo humo😋
njoo tuishi huku mkoani kama mke na mmeDar es salaam
Ngoja masponsor wajeSina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Hapana siwezi Fanya hivooUkitaka kumroga huyo jamaa tutachanga
Sasa si ndivyo tulivyokubaliana mrembo au nadanganyaEti tukutane room na 3 ww si mzima
👊👊Achana nayo yameisha
Mawazo yakoUkute na nyege zinasumbua ni vile tu hutaki mapenzi
Kudadek Mali mbichi kbc hii arf unasema hutaki Nini😃Nina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka Jana
Baada ya kushauri akauze supu ya miguu ya kuku na vichwaBiashara ya nguo za kike itakulipa,