Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Hao marafiki na hiyo faraja utaipata kwenye hii thread? Kama ndivyo basi karibuTaarifa zangu zinahitaji faragha lakini

Kwa maelezo yako nimeona biashara inayokufaa kwa sasa ni Kutafuta Mume kama kiini cha barua yako kinavyoeleza.Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Hapana siyo kwasasaKwa maelezo yako nimeona biashara inayokufaa kwa sasa ni Kutafuta Mume kama kiini cha barua yako kinavyoeleza.
AsanteHao marafiki na hiyo faraja utaipata kwenye hii thread? Kama ndivyo basi karibu
Huoni kuwa kwenye bandiko lako swala la mume umelielezea kwa nafasi kubwa kuliko la biashara?Hapana siyo kwasasa
pole sana ni kweli unahitaji rafiki,baba,au mama mzoefu na maisha,ambae alishaona mengi,alishapitia mengi,alishakutana na mengi.Rafiki huyo,mshauri huyo,mmoja wapo ni mimi.Karibu iwapo utapendaSina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Kwani ww unataka wanaume au wanawake?Asante sana Mwachi, Tatizo wanaume hamjizuii muda wowote kuwaza ngono tu3
Yeyote ila awe rafikiKwani ww unataka wanaume au wanawake?
Marry Diana ndiyo hii nyingine sinaIle I'd yako ya kwanza ulikua unatumia jina gani? Ni muda sana Nisha isahau
Asante Karibu piapole sana ni kweli unahitaji rafiki,baba,au mama mzoefu na maisha,ambae alishaona mengi,alishapitia mengi,alishakutana na mengi.Rafiki huyo,mshauri huyo,mmoja wapo ni mimi.Karibu iwapo utapenda
Dar es salaamUpo mkoa gani
Asante sanaPole Sana..
Nitaft3 nikupe wazoSina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Marafiki wako mtaani kwako hapo kuwa kama traffic wasimamishe wakuliwazeSina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.