Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Kaka na huu mwaka usiisheNiko na Marry.
Pole sana mama angu, vizuri umeongea.
Kaka na huu mwaka usiisheNiko na Marry.
Pole sana mama angu, vizuri umeongea.
Haha Anko kama AnkoHili chaka linabeba mambo mengi sana. Episodes za kutosha...
Sawa kama nimezeeka ni majaliwa ya mwenyezi Mungu, hongera yako kwakuwa na nuruAisee,. Miaka 22 tu naona ni mdogo halafu umezeeka
Am sorry ni kutokana na picture zako za profile
Amini unachoamini usiidanganye akili yakoHizi fakes I'd zinamambo kibao
For real unaonekana kama una 30+ years,.Sawa kama nimezeeka ni majaliwa ya mwenyezi Mungu, hongera yako kwakuwa na nuru
Asante piaNimekosa hata Cha kuchangia
Vizuri sanaIpi hiyo, unanijua
Nimeumia sana kwakwelAsante pia
Kwenye picha huyo ni mm,For real unaonekana kama uta 30+ years,.
Jitahidi sana kupuuzia mambo,. Usijipe stress sana za maisha maana hazijai Isha,. Usitegemee watu wakupe furaha utakua disappointed sana,. Raha jipe mwenyewe bibie,. usipokua makini life will JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you to death...
Kula vizuri,. Oga vaa vizuri pendeza,. Skin care routine yako pia zingatia wachana na cheap price products,. Jitoe out msichana kula maisha ,. Nuru inakuja yenyewe automatically
Vipako mdogo wangu!Aisee,. Miaka 22 tu naona ni mdogo halafu umezeeka
Am sorry ni kutokana na picture zako za profile
MuongoVizuri sana
Situmii chochote zaidi ya mafuta mgando ya 2000Vipako mdogo wangu!
Samahani kama nitakuuzi Marry Diana jitahidi usitumie mafuta makali kwenye ngozi yako yanakuharibu mbona wewe ni binti mrembo Sana Tu!!
Tatizo unaharibu ngozi yako!!!
Asante sana Kwa ushauriPole sana biashara ungenunua vitu vya kkoo kama upo daslm jichanganye hapo Agrey/Congo mtaa ambao utaweza kufanya kitu na ukarudi na kitu..
Vitu vya kike vina mzunguko sana usijihusishe na vitu vya wanaume maana tukiwa na suruali tatu shati tano inatosha sio wanunuzi hasa kwa Tanzania..
Natamani kukusaidia ila nipo busy na magari huku SA ila sehemu ambazo ungepata vitu vya kuuza daslm hapa vingi shida muda mpaka J2 nasindikiza gari mpaka mpakani.
Umeuremba ushauri kama wamshauri manzi mwenzio kumbe dume😅For real unaonekana kama una 30+ years,.
Jitahidi sana kupuuzia mambo,. Usijipe stress sana za maisha maana hazijai Isha,. Usitegemee watu wakupe furaha utakua disappointed sana,. Raha jipe mwenyewe bibie,. usipokua makini life will JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you to death...
Kula vizuri,. Oga vaa vizuri pendeza,. Skin care routine yako pia zingatia wachana na cheap price products,. Jitoe out msichana kula maisha ,. Nuru inakuja yenyewe automatically
Uzuri Mamie yuko hapa shibela em nijibie hili,. Nanyanyasika kisa miguu yako mizuri jamani🥹😭😭Kwenye picha huyo ni mm,
Je unaweza kuniambia kwann ungepost miguu,tena si yako?
Punguza ushauri na Acha kejeli
Niliona Picha zako ulizopost ni kajua unatumia vipako,nisamehe mdogo wangu!!Situmii chochote zaidi ya mafuta mgando ya 2000
Sikua najua kama ni kidume maskini,Umeuremba ushauri kama wamshauri manzi mwenzio kumbe dume😅