Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Rudia kusoma naomba ushauri ni biashara gani naweza fanya Kwa kiasi kidogo nilichodunduliza ww unakuja kushambulia muonekano
Kichwa kinasema. " Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina ". Na unataka faraja nimekushauri namna ya kupata furaha ambayo hujaipata bado

Na nilitangulia kusema samahani kama nitakukwaza,. Sijui chochote kuhusu wewe nimeandika kutokana na maelezo na picha zako
 
Kwani nilipost picha kwenye Mada?
Unajikuta Una akili sana eeeeh,

Kupata faraja kunahusiana vipi na kuniambia nimezeeka,mara nile vizuri,kuna mahali nimeandika sili,

Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana
 
Nisamehe nimekosa Mimi nimekosa sanaa🥹🥹,.

Uliulizwa umri wako nikastaajabu.
Anyways nisamehe Bure sio Mimi ni pombe
 
Pole kipenzi

Kwanza punguza mawazo...

Ukitulia kabisa ndo uanze biashara hiyo hapo chini

Mama ntilie...

Chai chapati, supu morning 🌞
Mchana wali jaa mchuzi juu..

NB: Usafi wako na kukorofisha jikoni
Mama mchungaji ebu huyo binti Msomee Mithali 7:18 kwa niaba yangu
 
Marry diana
1. unahitaji faraja
2.unahitaji marafiki
3.Unataka kujua 1.2 utafanyia biashara Gani
Majibu
1.unahitaji faraja ya aina Gani na wapi? Humu,humu kwenye maada Yako? Maana pm umefunga na mawasiliano hujaweka,
2.marafiki wa aina Gani hao unatafuta?
3.hiyo 1.2 uliyodunduliza ungeanza kwa kutueleza una ujuzi wa kitu Gani labda mapishi,saluni, ndo tungekushauri ,
Embu elezea vizuri Nini unachotaka hasa!
 
Ngoja niandae raba nzuri tena yenye kamba na sori imara nakusubiri kesho
Raba au mavazi yako yataongeza nn kwenye kukutana kwetu,
Nisamehe nimekosa Mimi nimekosa sanaa🥹🥹,.

Uliulizwa umri wako nikastaajabu.
Anyways nisamehe Bure sio Mimi ni pombe
Sipendi dharau,
Nipo serious na nachopost ukikosa cha kuniambia kaa kimya dada
 
Raba au mavazi yako yataongeza nn kwenye kukutana kwetu,

Sipendi dharau,
Nipo serious na nachopost ukikosa cha kuniambia kaa kimya dada
Nadhani wewe ndio umetafsiri kama dharau.
Kuzeeka sio dhambi hata hivyo

Au uniambie ushauri upi ni mbaya kati ya niliyokupa nafuta ASAP
 
Back
Top Bottom