Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.

Shikamooni.

Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.

Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau

Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Mara unajiweza mara shkamooni mie mpweke 👹👹👺👺
 
Sometimes lets try to be gentle guys.
people go thru alot in this muthzrfvckng World
 
Attachments

  • Screenshot_20250809-213052.png
    Screenshot_20250809-213052.png
    562 KB · Views: 25
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Unge-relax kwanza kidogo kabla ya kukupa ushauri utuambie wewe una ushauri gani kuhusu wewe mwenyewe
 
Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.

Shikamooni.

Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.

Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau

Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Njoo pm please
 
Binafsi yangu mimi siwezi kuwa na urafiki na mwanamke ni sawa na kukaa karibu na bakuli la asali nitalamba tu
 
Back
Top Bottom