cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Oooh bas sawaa, kuanzia sahivi wee mdogo angu.Nimezaliwa tarehe 2 mwezi wa 2 mwaka 2003 kama hutaki basi
Niite dada ako, sawa marry
Oooh bas sawaa, kuanzia sahivi wee mdogo angu.Nimezaliwa tarehe 2 mwezi wa 2 mwaka 2003 kama hutaki basi
😂😂😂Pole kwa yote ila kwa maisha yako ya kusikitisha hapa mtu wa kuwa rafiki yako haswa ni Joanah hivyo zama PM kwake chap sisi wengine tutaishia kukutongoza na mwisho ufe kwa kutoneshwa madonda yako
Una kadi ya mpiga kura ?Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
SawaOooh bas sawaa, kuanzia sahivi wee mdogo angu.
Niite dada ako, sawa marry
Poaah dogo MSawa
Sawa mkuu,ndani yake niliingiza na kautani kidogo mkuu.Ahahahahah...huyo kapewa talaka ndani ya mwaka mmoja. Mimi nimekaa kwwnye ndoa over 10 years
basi kama ni hivyo ndulilo ukizipenda zinaweza kuwa tamu kwa wakati huo lakini madhara yake ndo hayo uliyonayo wewe miaka 22 mwili kama wa 1995. Usipende kuliwa sana tulia. Mume bora atoka kwa Bwana.Nimezaliwa tarehe 2 mwezi wa 2 mwaka 2003 kama hutaki basi
Uza vifaa vya simu (kama eneo lako limechangamka)Mbona sina shamba eti
Jamani 😂😂😂basi kama ni hivyo ndulilo ukizipenda zinaweza kuwa tamu kwa wakati huo lakini madhara yake ndo hayo uliyonayo wewe miaka 22 mwili kama wa 1995. Usipende kuliwa sana tulia. Mume bora atoka kwa Bwana.
SanteeUza vifaa vya simu (kama eneo lako limechangamka)
Upo tayari Kwa vita na Mimi post picha yako tuione Kwanza ndipo nikujibubasi kama ni hivyo ndulilo ukizipenda zinaweza kuwa tamu kwa wakati huo lakini madhara yake ndo hayo uliyonayo wewe miaka 22 mwili kama wa 1995. Usipende kuliwa sana tulia. Mume bora atoka kwa Bwana.
Miezi 10 sio mbayaNina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka Jana
Aisee pole sanaNikiwa hospital nilizaa mtoto kabla ya muda wake,hakukaa Sana alifariki ndipo mume wangu aliponiacha
nimekujibu kulingana na umri wako.Upo tayari Kwa vita na Mimi post picha yako tuione Kwanza ndipo nikujibu
Nilikuwa nakufikiria vibaya sana..Nikiwa hospital nilizaa mtoto kabla ya muda wake,hakukaa Sana alifariki ndipo mume wangu aliponiacha
Hivi hizi ndoa za siku hizi mbona zinavunjika sana, ina maana waoaji wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawako tayari au?Nina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka Jana
Pole sana Mdada ..kwanza kabisa tambua Yesu ndiye rafiki mwema.....Anza naye kwanza yeye ndo atakayekupa mafariki wema na wazuri zaidiSina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni.
Shikamooni.
Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi.
Narudia sihitaji mpenzi wala mapenzi,kidonda cha kuachwa na mume ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza ,sili hadi awepo yeye,lakini aliniacha ,tena talaka ikinikuta nikiwa hospital naumwa hili siwezi sahau
Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Tuombe sana Mungu shetani amejawa na hasira na Tahasisi ya ndowa.Hivi hizi ndoa za siku hizi mbona zinavunjika sana, ina maana waoaji wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawako tayari au?