Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

Uzuri Mamie yuko hapa shibela em nijibie hili,. Nanyanyasika kisa miguu yako jamani🄹😭😭

Hilo ndio tatizo lako hupendi kuambiwa ukweli,. Uzi wako umeomba ushauri nimekushauri au ulishalist watu wako wa kuchangia???

Am out anyways ,. Sorry for everything
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ushauri umetoa na kichambo umekula🤣🤣🤣🤣🤣
Pole mdogo wangu!!!
 
Amini unachoamini usiidanganye akili yako
Kama ni kweli basi pole. Jaribu kupuuzia baadhi ya mambo ili kujiepusha na msongo wa mawazo. Hasa hizi social networks jaribu kujitenga nazo kwa muda zinaongeza mfadhaiko. Imagine unakutana na picha au au tukio watu wanapendana wanakula maisha ww upo hoi huelewo ushike lipi Kila kitu kipo vuruvuru lazima ubongo uzidi kichanganyikana. Humu vingi ni maigizo usivitilie manani sana. Njoo pm nikupe neno kidogo mama
 
Uzuri Mamie yuko hapa shibela em nijibie hili,. Nanyanyasika kisa miguu yako mizuri jamani🄹😭😭

Hilo ndio tatizo lako hupendi kuambiwa ukweli,. Uzi wako umeomba ushauri nimekushauri au ulishalist watu wako wa kuchangia???

Am out anyways ,. Sorry for everything
Rudia kusoma naomba ushauri ni biashara gani naweza fanya Kwa kiasi kidogo nilichodunduliza ww unakuja kushambulia muonekano
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ushauri umetoa na kichambo umekula🤣🤣🤣🤣🤣
Pole mdogo wangu!!!
Yaani nimechambwa Mimi,

Naomba basi pic ya pozi lingine LA miguu niache kunyanyaswa 🄹😭
 
Kama ni kweli basi pole. Jaribu kupuuzia baadhi ya mambo ili kujiepusha na msongo wa mawazo. Hasa hizi social networks jaribu kujitenga nazo kwa muda zinaongeza mfadhaiko. Imagine unakutana na picha au au tukio watu wanapendana wanakula maisha ww upo hoi huelewo ushike lipi Kila kitu kipo vuruvuru lazima ubongo uzidi kichanganyikana. Humu vingi ni maigizo usivitilie manani sana. Njoo pm nikupe neno kidogo mama
Asante sana Kwa ushauri mengine ongea hapa hapa
 
Mbona kama wajijibu mwenyewe
Hujui kitu Mamie,.
Niliipenda picha ya miguu yake na nikamwomba hapahapa jukwaani nitumie na Mimi kama Avatar yangu,

Hata weye kama una kapicha kako kazuri nipee tu nitakuweka kwenye profile yangu Wala sina baya🄰🄰
 
Oooh nimeelewa
 
Back
Top Bottom