Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Nina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka JanaSababu umeongelea umri pia sio mbaya ungetutajia umri wako
Una umri gani Marry Diana hadi umeshaolewa na kuachika
Kwanini uliachika mapema hivyoNina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka Jana
Biashara ya nguo za kike itakulipa,Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Nikiwa hospital nilizaa mtoto kabla ya muda wake,hakukaa Sana alifariki ndipo mume wangu aliponiachaKwanini uliachika mapema hivyo
Asante sanaBiashara ya nguo za kike itakulipa,
Biashara ya nguo za kike itakulipa,Naombani ushauri , milioni moja na lakini mbili nifanye biashara gani ya kunipa faida.
Karibuni
Pole Sana najitolea kukuchangia jembe na mboleaNina miaka 22 niliolewa mwakajana mwezi wa 2 na kuachika mwezi wa 12 mwaka Jana
Asante sana Mwachi, Tatizo wanaume hamjizuii muda wowote kuwaza ngono tu3Marry marafiki una pata jinsi unavyo jichamganya
Mbona sina shamba etiPole Sana najitolea kukuchangia jembe na mbolea
Asante sanaNiko na Marry.
Pole sana mama angu, vizuri umeongea.
Sihitaji kufanya hivyoPole, ukihitaji ushauri wa kumloga huyo bwana wako nipo tayari 🤔
KaribuHili chaka linabeba mambo mengi sana. Episodes za kutosha...
Taarifa zangu zinahitaji faragha lakiniUngeweka mawasiliano ingekuwa poa. Instagram/facebook/tiktok itafaa zaidi.