‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Hawa viukbe ,ke Ni shida Kuna jamaa angu nae wameachana na demu wake kiss mama ake jamaa kuwa mgonjwa ,mwanake anawaza je nikiolewa na huyu jamaa c nitatakiwa kulea mama ake na kuangaika nae had mwisho

Demu alifikiria akaone siyo ishu huyo kasepa zake

Hawa wanawake Ni kuwa nao kwa makini ukiweza kumzalisha mwanamke Kam unaona magumashi ingia mitini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aseehh....Wanawake siye huzuni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani nafikiria tofauti, natamani kufahamu mama alienda hapo kufanya Nini? alikuwa mgonjwa? alienda kusalimia? na je wakati mama anakuja, mke alishirikishwa? bado tuna maswali ya kujiuliza kufikia hitimisho.

Wanaume kumbukeni mnapooa, mnaoa wanawake kwaajili yenu kwa faida zenu, acheni kuwadharau wake zenu na kuwaonesha hawana nguvu katika familia.

Wanaume acheni kabisa tabia ya kujali kwenu tu na kusahau kabisa chimbuko la mke wako, jitahidi tuma hata hela ya sukari watakushukuru na utajenga upendo wa Hali ya juu kwa mkeo.

Kingine, Mwanaume lazima uwe na msimamo katika maamuzi. Mke unampa taarifa mama anakuja kutusalimia kwa mfano, ni rahisi kujua reaction ya mkeo, ama mama mgonjwa anakuja kutibiwa kama una dada zako wa kike, ita mmoja aje kumsaidia mama.

Mke wako anachoka sana ni vile hamjui tu, watoto wa tatu siyo lelemama kulea nyie, halafu ukutume mama mgonjwa amekuja atajigawaje? hata kama Kuna mdada aisee mambo ni mengi sana kwenye hili.
 
Back
Top Bottom