Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Kiukweli kurogwa wengi huwa mnataka wenyewe. Mnahangaika sana.Kwa hiyo mnajiona wajanja wenyewe mnavyotucheka [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli kurogwa wengi huwa mnataka wenyewe. Mnahangaika sana.Kwa hiyo mnajiona wajanja wenyewe mnavyotucheka [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] we mwenyewe apo usikute tayari zamani.Duuuh! [emoji28][emoji28][emoji28]Twafa wanaume. Mtakuja kutuua nyie watu yaani tunakula damu za period.
Shida kichwa cha chini na nyie wenyewe mnachangia mnatutega sana humo njiani tunashindwa kujizuia
Mimi kama kurogwa nimesharogwa kuna wakati najiona kabisa sio mzima
[emoji2][emoji23][emoji23]Shida kichwa cha chini na nyie wenyewe mnachangia mnatutega sana humo njiani tunashindwa kujizuia
Hamkumwambia mume wake?!Kuna ness jirani hapa alikuwa anafunga milango yote anamwacha kibarazani mama makwe then kuonana jioni ...so yule bibi alikuwa na Milo miwili nayo hatujui kama ilikuwa Inatimia chai na msosi usiku
Alimfuma mwenyeweHamkumwambia mume wake?!
Hakunaga mwanamke anakaa na mwanaume muda mrefu sababu anampenda ni kwasababu anamtii na kumheshimu. But malengo kwenye kichwa cha mwanamke huwa hayapo katika upendo.Kama huwezi kuka na mama angu mzazi haijalishi unampenda au la, maanake unanipotezea mda wangu, huwezi kunipenda.
Siyo wote boss. Kuna wanawake wako committed kwenye ndoa zao hadi unaweza kumwonea wivu mwanaume.Hakunaga mwanamke anakaa na mwanaume muda mrefu sababu anampenda ni kwasababu anamtii na kumheshimu. But malengo kwenye kichwa cha mwanamke huwa hayapo katika upendo.
Wanawake ni opportunists. Wanajua wanachokitaka so watakuigizia hadi basi.
Ukiendekeza matakua ya mwanamke kwako ndo umeisha hao viumbe ni wabinafsi sanaa hujipendelea tu, kwangu ni mawili either kunitii amri zangu au separation hamna urafiki na mwanamke kama hanafaida masirahi kwako.Hakunaga mwanamke anakaa na mwanaume muda mrefu sababu anampenda ni kwasababu anamtii na kumheshimu. But malengo kwenye kichwa cha mwanamke huwa hayapo katika upendo.
Wanawake ni opportunists. Wanajua wanachokitaka so watakuigizia hadi basi.
Hiyo ni % ndogo sana 99% wako kimasirahi, filisika uwe huna hata assets za kuuza uone kama atakuvumilia, lazima azue vitimbi ili asepe tu.Siyo wote boss. Kuna wanawake wako committed kwenye ndoa zao hadi unaweza kumwonea wivu mwanaume.
Kwani akikaa kuna nini imagine ndo mamako unamfukuza? Nimekaa na mama mkwe wangu miaka 8 sikuona shida hivi juzi kaenda kwa binti yake kiukweli nimemmiss, tatizo watu sijui wanawachukuliaje wakwe jamani ishi nae kama mamako wala haina shida.Tatizo la wamama wakienda kwa vijana wao waliooa wanataka kukaa mwaka mzima au kuhamia hapo lzima wakosane,nenda mara moja moja na usikae sanaa ,sehem ambayo mama anaweza kaa muda mrefu na kwa amani ni kwa mtoto wa kike tu lakin na penyewe usikae sana
Acha wao waje kukutembelea kwako
Hivi kweli mamako mzazi anaweza kwenda kuishi kwa ndugu na mtoto wake upo Hai kisa mkeo hataki kukaa nae huu ni uchawi nao.Tuanze hapa
Mama Mzazi ni
Mgonjwa?
Hana wa kumhudumia kwa sasa?
Hana ndugu?
Hana pa kukaa kwa sasa?
Au kaja kutembea tu?
Kwani akikaa kuna nini imagine ndo mamako unamfukuza? Nimekaa na mama mkwe wangu miaka 8 sikuona shida hivi juzi kaenda kwa binti yake kiukweli nimemmiss, tatizo watu sijui wanawachukuliaje wakwe jamani ishi nae kama mamako wala haina shida.
Dah hii comment umeandika ww au mtoto kachezea simu.Huwezi lazimisha mtu apende mama yako mkuu
Ni bora akae kwake kma hakuna ulazima wa kwenda kwa mwanaweHivi kweli mamako mzazi anaweza kwenda kuishi kwa ndugu na mtoto wake upo Hai kisa mkeo hataki kukaa nae huu ni uchawi nao.
Mkuu,kabla ya kumshauri mtu kuachana na mke wangu inabidi uwe mwangalifu sana,Mapenzi ni kitu cha ajabu sana huyo utashangaa siku ya siku anakugeuka kuwa unaingilia Ndoa yake na anamwambia mkewe kuwa ulitoa Ushauri kuwa amuache.Halafu ndio usubirie Vagi kutoka kwa mke wa Jamaa yako.Wakuu,
Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!
Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!
Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!
Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya
Wadau mnasemaje?
Wachache sana, nimeshudia wanaume wengi wakisomesha mashemeji wao mpaka chuo, including wajomba zangu na baba zangu wadogo na wengine hufikia hatua mpaka kusomesha watoto wa mashemeji zao.Nimeongelea kiujumla mkuu hata kuna wanaume pia hawapendi ndugu wa mke na huo wote ni uchoyo tu
AiseeNi bora akae kwake kma hakuna ulazima wa kwenda kwa mwanawe