‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Lucifer mwenyewe kaumbwa na Mungu. Halafu iweje tuwe na tabia zilizofanana? Ndivyo tulivyoumbwa.
Mtapiga tu kelele lakini tabia za mwanamke zitabaki kuwa hivyo hivyo miaka na miaka, kama ambavyo tabia za mwanaume hazijawahi kubadilika.

Hao manabii feki wengi ni wanaume, una lipi la kusema kuhusu wanaume manabii feki? Unaona wapo sawa kutqpeli?
Mnapenda short cut lakin vitu viko waz san
 
Wanaume wachache sana wanaweza kuwafhukia wazazi wa mke, lakini ni wanawake wachache sana wanaweza kuishi na wazazi wa mume bila vitimbi...
Sababu ni hii.

Mara zote mume hayupo karibu na familia ya mke, yaani sio lazima afatane nao. Ila mke anatakiwa awe karibu na mama mkwe, mawifi...tena awe mchangamfu ,awapende na kuwajibika kwao.
Yaani mke amelazimishwa awe karibu na mama mkwe na mawifi kwasababu tu kaolewa huko,halafu unakuta imetokea hawapatani kwa sababu mbali mbali.

Ni kama vile ulazimishwe kuishi na watu ambao wewe hujachagua kuishi nao, na sio ndugu zako.

Wazazi waache kiherehere cha kwenda kukaa kwa watoto wao bila sababu ya msingi. Waende mara chache na wasikae sana maana lazima wataboa.

Mzazi aishi na nyie kama kuna sababu inayoeleweka kama vile ugonjwa au nyingine ambayo imebidi.
Tuwaache watoto waishi maisha yao...kuzoeana sana lazima kutaleta maneno.
 
Kila kitu kinabadilika ile nyie mnabadilika kuwa waharibifu zaidi kuliko kuwa bora
Ni kweli..na sababu ipo.

Uvumilivu una mwisho wake, watu hawaendelei kuwa maboya tena.
Ogopa sana mtu aliyeonewa halafu akaja kujitambua.
Unaweza usinielewe.
 
Ni kweli..na sababu ipo.

Uvumilivu una mwisho wake, watu hawaendelei kuwa maboya tena.
Ogopa sana mtu aliyeonewa halafu akaja kujitambua.
Unaweza usinielewe.
Wanawake ni lini mmeonewa au ndio mlivyoaminishwa na wabeijing
 
Wanawake ni lini mmeonewa au ndio mlivyoaminishwa na wabeijing
Huwezi elewa tutabishana hapa hadi kesho.
Lakini mimi naamini hizi changamoto za ndoa tunazopitia watanzania sasa hivi (sina uhakika na nchi nyingine za kiafrika), huko kwa wenzetu wazungu hawana.
 
Huyo jamaako alichobakiza hapa duniani ni kukazwa tu, unaruhusu vipi binadam amdisrespect mamako kiasi hicho, hata aje mwanamke hapa aseme akiona mwanae wa kiume katolewa kauli hiyo na mke alomwoa atajisikiaje? Me ningeachana nae siku hiyo hiyo alafu kimya kimya wala sitak kelele na mtu mamamae... Disrespect ya hali ya juu. Jaman Moms are off-limit you don't disrespect my mom like that, its like your best friend fwuking your mom, how would you react?.. YOUR FRIEND IS A BIACH, Tell him to MAN—UP... Achen kabisa upumbavu mama alokuzaa anaonekana kama kinyago cha mpapure na jitu ulilokutana nalo uzeeni, mtakuja kupelekewa moto nyie majamaa aisee, nimeumia sana...
 
Huwezi elewa tutabishana hapa hadi kesho.
Lakini mimi naamini hizi changamoto za ndoa tunazopitia watanzania sasa hivi (sina uhakika na nchi nyingine za kiafrika), huko kwa wenzetu wazungu hawana.
Ni kweli changamoto zinatofautiana kwa sababu kila jamii inaiona ndoa kwa uzito wake
 
Hizo ni shida ya kuoa au kuolewa na maskini, maskini akipata mgeni wakati wakula anaona mgeni anamalizia chakula chake au bajet yake, kwa tajiri akitembelewa na mgeni wakati wakula kwao huona kama baraka kuwa na mgeni na kujumuika pamoja wakati wakula
 
Mwanaume asio kua na msimamo ni sawa sawa na mwanamke tofauti ni productive organs...... na oa mke ambaye niko tayari kumuacha hata ikiwa na kichanga cha wiki moja, hayo masuala subilia watoto wakue ni uoga wa maisha na ujinga.
Wanaume tumebaki wachache sana wengine lia lia
 
Wakuu,

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje?
Hiyo kauli ni zaidi ya kuomba talaka ambapo sio jambo la kawaida kutolewa na mtu mwenye akili timamu.
Kuna mawili:
  • labda amekuchoka na anataka talaka au
  • Yeye ndiye analisha familia (si unajua baadhi ya wanawake walivyo) anaona unamuongezea watu
Mwisho; Nahisi huyo mwanamke ana msongo wa mawazo hivyo nastahili kupelekwa kwa dactari wa Ushauri au Mchungaji/Sheikh kwa maombi
 
Duh
Kuna watu wana choyo za asili..

Oyah vijana msioe. Tulieni mpaka mkuwe kiakili
Oya mabinti msiolewe. Tulieni na mabwawa mpaka mpate dawa ya kurudisha mabwawa yarudi kua vitumbua.

Screenshot_20211116-210619_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom