‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Na kweli mnaturoga sanaaaa, yote hiyo ni kutafuta kutu-control sisi na hela zetu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wachache sana huishi vizuri na mama wakwe wenye dini na upendo na heshima
Vile vile mkeo kuishi ukweni huwa ni kazi ngumu mnooo lazima wagombane
 
Kweli kabisa watu tu hapa wanajifanya wakali wakati kiuhalisia huwa tunaona wake wanawanyanyasa mama zao na hawana say yoyote wanakuwaga mama wamerogwa
Na kuna wanaume hapa hapa wananyanyasa kuanzia wake zao had ndugu wengine ila wapo kuwa wakali hapa. Nawacheki tu. Mtaani tunaishi nao tunawaona ila wakija JF wanajikuta wao ndio wana upendo na watakatifu sana wakati nje huko hawafai kwa roho mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje?
Hapo hakuna mke aisee! Huyo bado ni bachelor boy. Mwambie akatafute mke aoe haraka kabla umri haujaenda.😨😨😨
 
Wakuu,

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje?

Wakuu,

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje?
Kataa Ndoa
Ndoa ni utapeli
Ndoa ni matatizo
Ndoa ni ujinga
Ndoa ni uhuni
Ndoa ni dhambi
Kataa Ndoa.

Kuna ness jirani hapa alikuwa anafunga milango yote anamwacha kibarazani mama makwe then kuonana jioni ...so yule bibi alikuwa na Milo miwili nayo hatujui kama ilikuwa Inatimia chai na msosi usiku

Daaah Hatare nyumba nimejenga mm baba. Kisha mama yangu afungiwe nje mpk mkwe arudi kazini. Hii n zaidi ya hatare.
 
Huwezi lazimisha mtu apende mama yako mkuu
Kabla ya yote akubali kwamba, hata mama yake hatatakiwa kukanyaga kabisa nyumbani kwetu. Kisha kila mmoja wetu atajua ni namna gani anamsaidia mama yake.

Mwanamke akishakuwa na kiburi ni dawa ni kwenda nae jino kwa jino, mambo yakimshinda aondoke.

Huwezi kumchukia mama yangu ukatarajia wako apate chochote kutoka kwangu.
 
Waolewaji ndio hawana akili toka pale eden mpaka karne ya 21
Ni makosa ya Mungu kuumba kiumbe kisicho na akili. Sa tufanyeje na tayari tumeshaumbwa hivyo. Mnatulaumu bure tu...hatuna uwezo wa kujibadilisha.
 
Ni makosa ya Mungu kuumba kiumbe kisicho na akili. Sa tufanyeje na tayari tumeshaumbwa hivyo. Mnatulaumu bure tu...hatuna uwezo wa kujibadilisha.
Mungu aliwaumba mmekamilika sema mkachagua upotevu na kumsikiliza Lucifer hata leo hamjaacha mnaongoza kwenda kwa waganga na manabii feki
 
Kuna mambo yaliyojificha ambayo hatuyajui. Ukute mama mkwe kichomi.

Watajua wenyewe
 
Mungu aliwaumba mmekamilika sema mkachagua upotevu na kumsikiliza Lucifer hata leo hamjaacha mnaongoza kwenda kwa waganga na manabii feki
Lucifer mwenyewe kaumbwa na Mungu. Halafu iweje tuwe na tabia zilizofanana? Ndivyo tulivyoumbwa.
Mtapiga tu kelele lakini tabia za mwanamke zitabaki kuwa hivyo hivyo miaka na miaka, kama ambavyo tabia za mwanaume hazijawahi kubadilika.

Hao manabii feki wengi ni wanaume, una lipi la kusema kuhusu wanaume manabii feki? Unaona wapo sawa kutqpeli?
 
Back
Top Bottom