‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

Aseehh....Wanawake siye huzuni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani nafikiria tofauti, natamani kufahamu mama alienda hapo kufanya Nini? alikuwa mgonjwa? alienda kusalimia? na je wakati mama anakuja, mke alishirikishwa? bado tuna maswali ya kujiuliza kufikia hitimisho.

Wanaume kumbukeni mnapooa, mnaoa wanawake kwaajili yenu kwa faida zenu, acheni kuwadharau wake zenu na kuwaonesha hawana nguvu katika familia.

Wanaume acheni kabisa tabia ya kujali kwenu tu na kusahau kabisa chimbuko la mke wako, jitahidi tuma hata hela ya sukari watakushukuru na utajenga upendo wa Hali ya juu kwa mkeo.

Kingine, Mwanaume lazima uwe na msimamo katika maamuzi. Mke unampa taarifa mama anakuja kutusalimia kwa mfano, ni rahisi kujua reaction ya mkeo, ama mama mgonjwa anakuja kutibiwa kama una dada zako wa kike, ita mmoja aje kumsaidia mama.

Mke wako anachoka sana ni vile hamjui tu, watoto wa tatu siyo lelemama kulea nyie, halafu ukutume mama mgonjwa amekuja atajigawaje? hata kama Kuna mdada aisee mambo ni mengi sana kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…