Siwezi kumpa rafiki yangu connection ya kazi mahali ninapofanya kazi

Siwezi kumpa rafiki yangu connection ya kazi mahali ninapofanya kazi

Uchawi sio lazima upae na ungo usiku, hata hayo mawazo yako ni uchawi tosha.

Hii yote inadhihirisha jinsi usivyojiamini, yule rafiki unayemsaidia wewe ndie atakaye wasaidia wengine hata kama sio wewe direct.

Hivo watu wema ndo wanashea "blessings"

Unapom-lift mtu in another way na wewe unakuwa lifted.

Kumbuka: kipimo unachompimia mwenzio nawe ndo utapimiwa hichohicho au kitasukwasukwa(kitajazwa) iwe ni mema au mabaya.
Kuna kitu kimefanya aseme hvo sema tu siku zote ukifanya maamuzi ukiwa na hasira..
 
Muogope Sanaa Rafiki au Ndugu kwenye Maswala ya Mafanikio, Nina Kisa Kizito Sanaa kuhusu Mafanikio natamani kusimulia hapa Ili iwe Funzo Kwa wengine, Tatizo sio mwandishi Mzuri na pia Kisa hakija fika mwisho. Ila tuombe uzima nitakileta.
 
Back
Top Bottom