Siwezi kupoteza muda kujadili mpira wakati mimi sina uhakika wa maisha

Siwezi kupoteza muda kujadili mpira wakati mimi sina uhakika wa maisha

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Nauza kangala kwenda mbela.

Hapa sasa hivi kuna walimu wanakula kangala , wanachanganya na ambiance na Shimha.

Siwezi kupoteza muda kujadili simba na Yanga wakati mimi sina uhakika wa maisha bila kuganga njaa. Ni upuuzi na ujinga.

Kujadili Ligi ya Uingereza, Ufaransa, Bundesliga mpaka koo linakauka wakati sina hata elfu kumi mfukoni ni ufala na ukenge.
 
Halafu kuna mwingine anasema anamshukuru Mungu hana ujinga wa kuuza wala kutumia kangala.

Dawa ni tusipangiane tu. Kila mtu na starehe yake. We unashangaa watu wanashabikia mipira nao wanakushangaa wewe unagonga punyeto twice a day.
 
Alafu kuna mwingine anasema anamshukuru Mungu hana ujinga wa kuuza wala kutumia kangala.

Dawa ni tusipangiane tu. Kila mtu na starehe yake. We unashangaa watu wanashabikia mipira nao wanakushangaa wewe unagonga punyeto twice a day.
Hayupo wa hivyo
 
Ongea na kalokola akupe elfu kumi hapo ntamletea Kesho jioni
 
Tafuta mtaalamu wa kukusaidia.. utulize boli basi. Pole sana maana hayo umeyaandika yanakuhusu.. unahitaji misaada.. wahi fasta.. ujue ya maishani kizaidi..
 
Kwahiyo kama huna uhakika wa maisha unamwambia nani sasa unataka tufanyaje?
 
Basi ww ni mwanamke, wanaume lazima tujadili mpira hata kubishana kidogo.

Mpira unahisia kubwa sana
 
Kwamba usipozungumzia mpira ndio utapata hayo maisha ama?
 
Back
Top Bottom