Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hayupo wa hivyoAlafu kuna mwingine anasema anamshukuru Mungu hana ujinga wa kuuza wala kutumia kangala.
Dawa ni tusipangiane tu. Kila mtu na starehe yake. We unashangaa watu wanashabikia mipira nao wanakushangaa wewe unagonga punyeto twice a day.
Hapana. Kama ni binafsi wasitupigie kelele mitaaniHehehehe kumbe ni mambo yako binafsi