nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Umesahau na kuwa na urafiki na watoto sijui uncle ....uncle wengi wameishia jela kesi za kulawit mtoto analawitiwa huku ....kisha mtumiwa anamtishia asisema anakutaja wewe uncle aliyekuzoea hajui athari yake....1. Kutoa lift kwa wanafunzi wa kike - haijalishi hata kama kuna mgomo wa daladala, ni hatari ! mtoto anaweza achelewe kufikia kwao na kuna mtu alikiona umempakia ni tatizo tayari, unamshushia karibu na kwao mzazi akikuona ni shida, anaweza kudhani wewe ni fataki unayemharibu mtoto wake hata kwa vikosa vidogo dogo, mambo haya yakifika polisi waweza ishia jela kimasihara,
2. Kutoa taarifa za mtoto aliepotea - umekutana na picha ya mtoto aliepotea mtandaoni, wazazi wanamtafuta, wameweka namba pamoja na donge nono kama milioni, unakutana na mtoto huyo mtaani unatoa taarufa, mnamalizana vizuri na wazazi mara unaitwa polisi waliokuwa wanamtafuta pia baada ya wazazi kutoa taarifa, msaidizi unaweza kuanza kuonekana ulihusika kwenye upotevu wa mtoto, yajayo yanaweza kuwa mazito !
3. Kusaidia mtoto mdogo anaeniomba nimvushe barabarani - Unakuta mtoto anahangaika kuvuka barabara au kupotea. Unamsaidia kwa kumshika mkono au kumbeba ili asiumie. Lakini mtu akipiga picha au kushuhudia bila kuelewa muktadha, taarifa inaweza sambaa ukihusishwa na utekaji au unyanyasaji wa watoto.
Mbona ulisema unamjengea ma j kule GOBA๐๐4. Kumjengea mchepuko
Tuliishia pagaleMbona ulisema unamjengea ma j kule GOBA๐๐
Partneship na wanawake nimefanikiwa zaidi kuliko na wanaume5. Business partnership na wanawake
Sure, katika kesi 10 za ulawiti wa watoto huwa naamini ni 5 tu ndizo zina ukweli, hizo nyingine ni kubambikiziana kwenye mabifu na blackmailUmesahau na kuwa na urafiki na watoto sijui uncle ....uncle wengi wameishia jela kesi za kulawit mtoto analawitiwa huku ....kisha mtumiwa anamtishia asisema anakutaja wewe uncle aliyekuzoea hajui athari yake....
Una gonjwa 30 ushahid wa mtoto hata akidanganya utasikia kwann akutaje wewe pia mahamakani huchomoki
Kwa kuoa mwanamke yatima kwa kumuonea huruma sio kwa kumpenda.1. Kutoa lift kwa wanafunzi wa kike - haijalishi hata kama kuna mgomo wa daladala, ni hatari ! mtoto anaweza achelewe kufikia kwao na kuna mtu alikiona umempakia ni tatizo tayari, unamshushia karibu na kwao mzazi akikuona ni shida, anaweza kudhani wewe ni fataki unayemharibu mtoto wake hata kwa vikosa vidogo dogo, mambo haya yakifika polisi waweza ishia jela kimasihara,
2. Kutoa taarifa za mtoto aliepotea - umekutana na picha ya mtoto aliepotea mtandaoni, wazazi wanamtafuta, wameweka namba pamoja na donge nono kama milioni, unakutana na mtoto huyo mtaani unatoa taarufa, mnamalizana vizuri na wazazi mara unaitwa polisi waliokuwa wanamtafuta pia baada ya wazazi kutoa taarifa, msaidizi unaweza kuanza kuonekana ulihusika kwenye upotevu wa mtoto, yajayo yanaweza kuwa mazito !
3. Kusaidia mtoto mdogo anaeniomba nimvushe barabarani - Unakuta mtoto anahangaika kuvuka barabara au kupotea. Unamsaidia kwa kumshika mkono au kumbeba ili asiumie. Lakini mtu akipiga picha au kushuhudia bila kuelewa muktadha, taarifa inaweza sambaa ukihusishwa na utekaji au unyanyasaji wa watoto.
6. Kusomesha watoto wa singo maza na kuwalea utaregrate badaye.1. Kutoa lift kwa wanafunzi wa kike - haijalishi hata kama kuna mgomo wa daladala, ni hatari ! mtoto anaweza achelewe kufikia kwao na kuna mtu alikiona umempakia ni tatizo tayari, unamshushia karibu na kwao mzazi akikuona ni shida, anaweza kudhani wewe ni fataki unayemharibu mtoto wake hata kwa vikosa vidogo dogo, mambo haya yakifika polisi waweza ishia jela kimasihara,
2. Kutoa taarifa za mtoto aliepotea - umekutana na picha ya mtoto aliepotea mtandaoni, wazazi wanamtafuta, wameweka namba pamoja na donge nono kama milioni, unakutana na mtoto huyo mtaani unatoa taarufa, mnamalizana vizuri na wazazi mara unaitwa polisi waliokuwa wanamtafuta pia baada ya wazazi kutoa taarifa, msaidizi unaweza kuanza kuonekana ulihusika kwenye upotevu wa mtoto, yajayo yanaweza kuwa mazito !
3. Kusaidia mtoto mdogo anaeniomba nimvushe barabarani - Unakuta mtoto anahangaika kuvuka barabara au kupotea. Unamsaidia kwa kumshika mkono au kumbeba ili asiumie. Lakini mtu akipiga picha au kushuhudia bila kuelewa muktadha, taarifa inaweza sambaa ukihusishwa na utekaji au unyanyasaji wa watoto.
Kopesha wachungaji na ma ustadhi ma Imamu, hiyo pesa ndo basi, utabadilishwa kua mfano kwenye maubili yao.6. Kuwakopesha maaskali polisi na magereza
4. Kumjengea mchepuko
5. Business partnership na wanawake
Mambo mengi ya wanawake hayafiki jela lakini unaweza kupoteza mali, kuwa na stress, usaliti, kujutia mahusiano, n.k.Kwa kuoa mwanamke yatima kwa kumuonea huruma sio kwa kumpenda.
Usioe mke Kwa kumuonea huruma. Oa Kwa sifa zake. Watu hubadilika wakiona wamejipataKwa kuoa mwanamke yatima kwa kumuonea huruma sio kwa kumpenda.