Siwezi kutoa msaada kwa mambo haya heri niitwe muovu kuliko kuishia jela au kutoboka mfuko

Siwezi kutoa msaada kwa mambo haya heri niitwe muovu kuliko kuishia jela au kutoboka mfuko

Wema unaoweza kukupeleka JELA

1. Kutoa lift kwa wanafunzi wa kike - haijalishi hata kama kuna mgomo wa daladala, ni hatari ! mtoto anaweza achelewe kufikia kwao na kuna mtu alikiona umempakia ni tatizo tayari, unamshushia karibu na kwao mzazi akikuona ni shida, anaweza kudhani wewe ni fataki unayemharibu mtoto wake hata kwa vikosa vidogo dogo, mambo haya yakifika polisi waweza ishia jela kimasihara,

2. Kutoa taarifa za mtoto aliepotea - umekutana na picha ya mtoto aliepotea mtandaoni, wazazi wanamtafuta, wameweka namba pamoja na donge nono kama milioni, unakutana na mtoto huyo mtaani unatoa taarufa, mnamalizana vizuri na wazazi mara unaitwa polisi waliokuwa wanamtafuta pia baada ya wazazi kutoa taarifa, msaidizi unaweza kuanza kuonekana ulihusika kwenye upotevu wa mtoto, yajayo yanaweza kuwa mazito !

3. Kusaidia mtoto mdogo anaeniomba nimvushe barabarani - Unakuta mtoto anahangaika kuvuka barabara au kupotea. Unamsaidia kwa kumshika mkono au kumbeba ili asiumie. Lakini mtu akipiga picha au kushuhudia bila kuelewa muktadha, taarifa inaweza sambaa ukihusishwa na utekaji au unyanyasaji wa watoto.
Kupigia kula ya ndiyo samia bushiri ni UANITHI MKUBWA WA AKILI
 
Usije ukamuambia mchepuko matatizo ya mkeo especialy kama huo mchepuko unamjua mkeo.
 
Back
Top Bottom