Siwezi kutoa msaada kwa mambo haya heri niitwe muovu kuliko kuishia jela au kutoboka mfuko

Siwezi kutoa msaada kwa mambo haya heri niitwe muovu kuliko kuishia jela au kutoboka mfuko

Umesahau na kuwa na urafiki na watoto sijui uncle ....uncle wengi wameishia jela kesi za kulawit mtoto analawitiwa huku ....kisha mtumiwa anamtishia asisema anakutaja wewe uncle aliyekuzoea hajui athari yake....

Una gongwa 30 miaka nyuma ya nondo ushahid wa mtoto hata akidanganya utasikia kwann akutaje wewe pia mahamakani huchomoki
True kabisa Yaani

Unapotea jela hivi hivi
 
Dunia sio sehemu salama

Lakini sio sehemu salama zaidi Kwa mwanaume
 
Basi mi nna bahati mbaya nao
Sidhani kama una bahati mbaya mkuu. Ukiweza kupata mwanamke mwenye ni mpambanaji, ukam recruit halafu uka partner naye, atakusaidia na atakuwa mwaminifu kuliko mke wako.
Ila ukikutana na mwanamke aliyetengenezwa na wengine, huyo lazima akuum8za, atabaki kuwa mwaminifu kwa wale waliomtengeneza.

So kabla ya ku partner naye,hakikisha unamtengeneza
 
Kwa akili hizi huwezi kumiliki gari la kuwapa watu lift...endelea kuvusha watoto barabara tu mtaalamu.
 
Mambo yote uliyoyataja hayawezi kukupeleka jela isipokuwa kukusababishia usumbufu hata kulala kuisaidia polisi kituoni katika mazingira yafuatayo,

katika situation zote,kama ulipigwa picha mtuhumiwa wa kwanza wa upotevu au majanga yliyomkuta mtoto/kijana huyo ni wewe.hivyo utahojiwa.na endapo yupo na anaweza kuzungumza,hilo ni swala salama kabisa upande wako maana yeye ndiye atakuwa shahidi yako.

tusiache kutoa misaada,watoto wote wanatuona kama wazazi ambao wanaweza kusaidika na sisi,ukimkwepa unamfanya aone dunia ni ngumu sana kisaikolojia.
 
Mi akinizalia, kumjengea ni uhakika.
Na sio kwasababu yake, ni kwasababu ya damu yangu
Nami nilitaka kufanya hivyo baada ya kugundua ni mjamzito

Baada ya hiyo bahati mbaya, nikasitisha mpango
 
Back
Top Bottom