Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Mimi ilibaki hiki tu nimjengee, Mungu saidia mimba ikatoka 🙌4. Kumjengea mchepuko
Mimi ilibaki hiki tu nimjengee, Mungu saidia mimba ikatoka 🙌4. Kumjengea mchepuko
Kumbe eehKwa kuoa mwanamke yatima kwa kumuonea huruma sio kwa kumpenda.
Sio kosa zito la kukupeleka jela, utajutia ukiwa uraiani6. Kusomesha watoto wa singo maza na kuwalea utaregrate badaye.
Hii kitu sitaki kabisa kuisikia, mwanamke ni mtu hatari sana hapa duniani,5. Business partnership na wanawake
4. Kumjengea mchepuko
Dunia ya sasa iko -ve kwa mwanaume.Kwa wanaume sawa, ila sisi wanawake tunayafanya na hatupatwi na matatizo.
HahahaTuliishia pagale
JichanganyeToa msaada unapohitajika mkuu kesi na vitu vingine hayo yanakuwa ni mambo mengine pia
Nafanya yote kasoro namba 1
Na kupata kifo cha mapema kwasbb ya stress za wanawake.Mambo mengi ya wanawake hayafiki jela lakini unaweza kupoteza mali, kuwa na stress, usaliti, kujutia mahusiano, n.k.
Kwa hapa Mzee wa kupambania hachomoki, ukimvizia lazma umdake😂 Mzee wa kupambania1. Kutoa lift kwa wanafunzi wa kike - haijalishi hata kama kuna mgomo wa daladala, ni hatari ! mtoto anaweza achelewe kufikia kwao na kuna mtu alikiona umempakia ni tatizo tayari, unamshushia karibu na kwao mzazi akikuona ni shida, anaweza kudhani wewe ni fataki unayemharibu mtoto wake hata kwa vikosa vidogo dogo, mambo haya yakifika polisi waweza ishia jela kimasihara,
Huyo jamaa haaminiki, hayo yote nimeyafanya miaka mingi na nikapewa shukrani kwa kuwasaidia watoto wanaohitaji msaada. Yeye kila akisaidia ananyooshewa kidole na jamii!Kwa wanaume sawa, ila sisi wanawake tunayafanya na hatupatwi na matatizo.
Aisee ngojea nichukue tahadhari kwa hili, Mimi na watoto damu damu aiseeUmesahau na kuwa na urafiki na watoto sijui uncle ....uncle wengi wameishia jela kesi za kulawit mtoto analawitiwa huku ....kisha mtumiwa anamtishia asisema anakutaja wewe uncle aliyekuzoea hajui athari yake....
Una gongwa 30 miaka nyuma ya nondo ushahid wa mtoto hata akidanganya utasikia kwann akutaje wewe pia mahamakani huchomoki