Siwezi kutoa msaada kwa mambo haya heri niitwe muovu kuliko kuishia jela au kutoboka mfuko

Nilikuwa na hiyo tabia ya kuwapa lifti Wanafunzi fulani hivi wakike

Nilisitisha baada ya kuona, wameshindwa kujiheshimu.

Binti wa form III kuanza kupandisha sketi ili anichanganye

Ugali ni mtamu lakini sio wa Jela
 
Unakutana na maiti kauwawa unamcheki unakuta simu mfukoni unachukua uchunguzi ukifanyika unakutwa na simu ya marehemu nan anakuelewa ni kama umewapunguzia wauaji hofu
 
Kwa hapa Mzee wa kupambania hachomoki, ukimvizia lazma umdake😂 Mzee wa kupambania
 
Kwa wanaume sawa, ila sisi wanawake tunayafanya na hatupatwi na matatizo.
Huyo jamaa haaminiki, hayo yote nimeyafanya miaka mingi na nikapewa shukrani kwa kuwasaidia watoto wanaohitaji msaada. Yeye kila akisaidia ananyooshewa kidole na jamii!
 
Aisee ngojea nichukue tahadhari kwa hili, Mimi na watoto damu damu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…